Nawezaje kugeuza website yangu kuwa bookmark App

Rockefeller

JF-Expert Member
Nov 21, 2016
1,196
2,151
Habari za mchana wakuu,

Naomba msaada wadau jinsi ya kuifanya website yangu kuwa bookmark app yaani mtu aki add kwenye homescreen inakua kama app na mtu akifungua inakua full screen kama app haioneshi navigations au url tab kwa juu. Nimeweka screenshot zinazoonesha utofauti kwa uelewa zaidi.

IMG_7363.jpg

IMG_7362.jpg
 
Umetumia language gani kuicode?
 
Sawa mkuu
Haina haja ya kumcheki ila kuna plugins nyingi tema free ambazo zitabadilisha web yako kuwa PWA

Kama unajua coding add file la webmanfest.php ili browser iweze kutambua kua web yako inaweza kuwa installed au install hii plugin ni moto

Shukrani mkuu, watu kama nyie ndio mnafanya JF iwe sehemu ya maana.
 
Good work with KF boss, imeanza lini?
Ahsante
Jibu hili hapa
 
Ahsante
Jibu hili hapa

Back
Top Bottom