Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Habari wakuu, laptop yangu inachora mstari kwenye screen, nimeshindwa nini nifanye ili kuondoa tatiizo hilo, pia sijajua hili linasababishawa na nini. Naomba msaada
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Wana jf kuna wakati tulisikia itv na star tv wanaanzisha king'amuzi chao na kitaanza kazi september. kuna mtu anajua wamefikia wapi.
0 Reactions
20 Replies
46K Views
Dears, now you can lock your cell fone bluetooth with this trick. Only dial this code *#9990# forlock your mobile bluetooth. Now if you want to unlock yourmobile bluetooth so just restart your...
0 Reactions
0 Replies
978 Views
Now you can hide the Drive without any softwere. Only youwill be do this. First of all go to START =>RUN Here you will type " diskpart " Now a window will be open Here you type " list volume "...
0 Reactions
0 Replies
877 Views
You can convert your FAT partition into NTFS witout any softwere. Go to Start=> Run and here you type this command " convert D:/fs:ntfs " Here is D: drive, if you want to change other drive...
0 Reactions
0 Replies
804 Views
Dear friends often time you install a window and then enter his product key. When yuo change the cd and then you enter new key of window, butt now this time i will show you a Master Product Key of...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Baada ya kushinda kesi yake dhidi ya Samsung..... Has Apple Really Ever Invented Anything? - YouTube
0 Reactions
6 Replies
1K Views
naomba mnielekeze jamani namna ya kuunganisha computer mbili pamoja, computer zangu iko jirani jirani na nataka nizitumie zote pamoja hata modem nitumie moja kwa pc zote 2, nifanyaje?
0 Reactions
18 Replies
4K Views
Microsoft wamerudisha offer yao ya Second Shot ambayo inakuruhusu kurudia mtihani bure kama ukifeli mara ya kwanza. Indo zaidi: Get a Second Shot at Microsoft certification for free
0 Reactions
0 Replies
905 Views
Jamani nisaidieni ni namna gani naweza ku download Opera mini kwenye HTC radar?
0 Reactions
6 Replies
6K Views
WAKUU!!!!!!!!:spy: Kwanza Heshima mbele yenu. Naomba msaada jinsi ya kuunganisha (ku-connect) kompyuta zaidi ya moja kwenye Mtandao wakati huo nina Internet Moderm (Airtel moderm) moja...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nauza iphone 4s ya 16 gb,ina ios 5.1.1 bei tsh 500,000. Iko fresh kabisa, haina scratches hata kidogo. Tatizo network iko locked so line za bongo hazisomi.Inaweza kuwa unlocked ila hela ya ku...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Waheshimiwa naomben msaada nilikuwa na2mia free net ya voda ile ya circle brain ktk simu ilikuwa kitambo kidogo toka april baada ya hapo nilikaa bila ku2mia net hadi hapa majuzi nilipo pata nafasi...
0 Reactions
1 Replies
824 Views
Nina hiyo software lakini inataka niweke product key,kwamaana ya kwamba ni trial varsion,kwahiyo kama kuna anayejua jinsi ya kufanya ili iendelee kutumika au kama kuna nyingine ambayo ni free...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
kwa yeyote anayefaham lolote lile kuhusiana na car immobilizer plz naomba uache mchango wako hapa usipite kimya kimya bila kuacha kijineno hapa. Huu mfumo now hapa bongo na tz kwa ujumla...
0 Reactions
0 Replies
994 Views
niliomba msaada jukwaa la elimu labda huku naweza pata, naomba mwenye encarta mwaka wowote anirushie ma email adress z emmanuelmaneno664@yahoo.com
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Nasa officials hope the latest contact with Curiosity will be an inspiration to the person who will become the first to stand on the surface of Mars. The rover made history by beaming the first...
0 Reactions
0 Replies
656 Views
British technology will play a key role in a new American Mars mission to delve under the skin of the red planet. Scientists from Imperial College London and Oxford University are supplying a...
0 Reactions
0 Replies
813 Views
CAPE CANAVERAL (Reuters) - NASA on Friday unveiled plans for its Mars rover Curiosity's first road trip, part of a two-year quest to determine if the planet most like Earth could ever have hosted...
0 Reactions
0 Replies
863 Views
wataalam heshima kwenu tafadhar nisaidien kuchakachua modem ya voda huawei E173
0 Reactions
2 Replies
949 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…