Iphone 4s 16 gb, inauzwa

Iphone 4s 16 gb, inauzwa

mfocbsjut

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2011
Posts
479
Reaction score
259
Nauza iphone 4s ya 16 gb,ina ios 5.1.1 bei tsh 500,000. Iko fresh kabisa, haina scratches hata kidogo. Tatizo network iko locked so line za bongo hazisomi.Inaweza kuwa unlocked ila hela ya ku unlock sina. Kama uko interested ni pm, au piga 0717301520.
 
unlock kwanza au chukua 250000 nta unlock mwenyewe.
 
Nauza iphone 4s ya 16 gb,ina ios 5.1.1 bei tsh 500,000. Iko fresh kabisa, haina scratches hata kidogo. Tatizo network iko locked so line za bongo hazisomi.Inaweza kuwa unlocked ila hela ya ku unlock sina. Kama uko interested ni pm, au piga 0717301520.

Unapatikana mkoa gani?
 
Mdau ipo 350,000 cash ila tunaenda ku-unlock kwanza kwa fundi wangu k/koo kwa gharama yangu then ikiwa safi nakushikisha mshiko. Kama uko poa na huu utaratibu niPM mdau
 
Hapo umeumia hakuna unlock ya Iphone 4,4S au 3; IOS 5.1.1(9B208) Modem Firmware(baseband version) 04:12.01 Hapo hata ukitumia Ultra Gevey Sim Unlock ni chenga labda ufanye downgrade ya Modem Firmware ambayo inahitaji hardware replacement toka china, Hapo labda utumia kama IPOD hizo zipo nyingi sana kitaa
 
kweli we jailbreaker wa ukweli. 5.1.1 on A5 devices: 4s and ipad3 ni unhackable (yet). kuhusu 4.. sijui as wanatumia different hardware (modem, processor..)

Nauza iphone 4s ya 16 gb,ina ios 5.1.1 bei tsh 500,000. Iko fresh kabisa, haina scratches hata kidogo. Tatizo network iko locked so line za bongo hazisomi.Inaweza kuwa unlocked ila hela ya ku unlock sina. Kama uko interested ni pm, au piga 0717301520.

kama alivyosema mkuu hapo juu, kuwa mkweli, it can't be unlocked (labda kama una uwezo wa kutoa hela ya iphone nyingine), ukitaka 250k, sema. nitaifanya ipod :biggrin:
 
Unaweza kujua ilikuwa inatumia line za nchi gani before?
 
Hapo umeumia hakuna unlock ya Iphone 4,4S au 3; IOS 5.1.1(9B208) Modem Firmware(baseband version) 04:12.01 Hapo hata ukitumia Ultra Gevey Sim Unlock ni chenga labda ufanye downgrade ya Modem Firmware ambayo inahitaji hardware replacement toka china, Hapo labda utumia kama IPOD hizo zipo nyingi sana kitaa

Well said mkuu, ya kwangu nimeifungia sandukuni baada ya kuhangaika hadi Nairobi (nasubiri kuirudisha Marekani)
 
nimekukubali mkuu.....

Back
Top Bottom