Msaada plz | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada plz

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by danmarc, Aug 29, 2012.

 1. danmarc

  danmarc JF-Expert Member

  #1
  Aug 29, 2012
  Joined: Feb 25, 2012
  Messages: 452
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 45
  Waheshimiwa naomben msaada nilikuwa na2mia free net ya voda ile ya circle brain ktk simu ilikuwa kitambo kidogo toka april baada ya hapo nilikaa bila ku2mia net hadi hapa majuzi nilipo pata nafasi ya ku2mia net kwenye simu tena lakini cha ajabu ile trick haikubali tena. Au walishashtukia? Kama kuna proxy na port zingine naomben mni PM au kama kuna trick nyingine pia mni PM.
   
 2. nurbert

  nurbert JF-Expert Member

  #2
  Aug 29, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 1,925
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  mkuu ungepiga 100 customer care kwa maelezo zaidi
   
Loading...