CAR IMMOBILIZER plz wataalam mawazo yenu yanahitajika hapa? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CAR IMMOBILIZER plz wataalam mawazo yenu yanahitajika hapa?

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by LEGE, Aug 29, 2012.

 1. LEGE

  LEGE JF-Expert Member

  #1
  Aug 29, 2012
  Joined: Oct 14, 2011
  Messages: 4,914
  Likes Received: 5,351
  Trophy Points: 280
  kwa yeyote anayefaham lolote lile kuhusiana na car immobilizer plz naomba uache mchango wako hapa usipite kimya kimya bila kuacha kijineno hapa. Huu mfumo now hapa bongo na tz kwa ujumla umeibuka kuwa ni tishio kubwa kwa wale wanaomiliki magari na kukufanya uweze amka masikin mda wote. Kwani gari ikijitia pin /lock au ukipoteza funguo hakika utajuta. Je ni kweli kuwa haiwezekani ku unlock au kudisconnect hii systerm pindi funguo ipoteapo. ?? Kitokeacho pindi upotezapo funguo ni kuwa gari inakuwa OK kila mahali ila ile negative signal ya kwenye nozzel na ignition coil itolewayo na ECU (engine control ) ndio hukosekanika. Je ni kweli haiwezekaniki ku loop au kufanya njia yoyote ile iwe ndani ya ECU au nje au kwenye systerm ya immobilizer mpaka hiyo signal ya earth ikapatikana ili gari iweze kuwaka???. Kwa yeyote anae faham systerm hii iwe kimchoro au kimaelezo au hata kipractical ningeomba msaada hata kwa kuchangia pesa kidogo.
   
Loading...