Simu HTC radar msaada jinsi ya ku download Opera mini | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Simu HTC radar msaada jinsi ya ku download Opera mini

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by dickson longo, Aug 29, 2012.

 1. dickson longo

  dickson longo JF-Expert Member

  #1
  Aug 29, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 226
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Jamani nisaidieni ni namna gani naweza ku download Opera mini kwenye HTC radar?
   
 2. P

  Paul S.S Verified User

  #2
  Aug 29, 2012
  Joined: Aug 27, 2009
  Messages: 5,933
  Likes Received: 276
  Trophy Points: 180
  Je simu yako inakamata net kwa browser ya simu? Umeifanyia configuration za internet

  Kuna njia mbili
  Mosi; kama simu yako umeiconfigure kutumia net, fungua browser ya simu na nenda m.operamini.com kisha nenda download, website itadetect aina ya simu yako na kukupa option ya kudownload operamini direct kwa simu yako, kisha install

  Pili unaweza kudownload operamini kwenye Pc yako kisha ukahamisha file kwenye simu kwa brutusi au kebo au memori kadi, kisha nenda kwenye simu ulipolipokea file la operamini lifungue na install

  NB
  Simu lazima iwe na configuration za internet ili kuconnect na net
   
 3. njiwa

  njiwa JF-Expert Member

  #3
  Aug 29, 2012
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 11,076
  Likes Received: 1,812
  Trophy Points: 280
  HTC si zina Google play "android market"... Ingia humo type opera .. bofya search ..
   
 4. dickson longo

  dickson longo JF-Expert Member

  #4
  Aug 29, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 226
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Najitahidi lakini wapi.can't download file.windows phone doesn't support the file.Ngoja nipate mda nijaribu option ya pili ya Paulss.
   
 5. Achahasira

  Achahasira JF-Expert Member

  #5
  Aug 29, 2012
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 1,219
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  opera haipo kwenye windows,
   
 6. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #6
  Aug 29, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,789
  Likes Received: 7,111
  Trophy Points: 280
  hamna opera ya windows phone 7.5 ila itakuepo ya windows phone 8. Walisema opera wanaidevelop ila mpaka sasa naona kimya.

  Ila unaweza ukainstall opera kwa application moja inaitwa libertate ingia hapo chini uone wenzako wanafanyaje

  Liberate and you (a basic guide to using Liberate) - Zune Boards

  Liberate ni kama kaemulator kenye apearence ya windows 2000 kenye uwezo wa kuopen mafile ya windows phone za zamani (cab)
   
 7. dickson longo

  dickson longo JF-Expert Member

  #7
  Aug 29, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 226
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Jamani nimeshindwa mbinu zote mlizonipa.Sasa naomba mawasiliano na technical kwa Dsm(k.koo)nimpe ailekebishe.
   
Loading...