Has apple really invented anything? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Has apple really invented anything?

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Mwalimu, Aug 29, 2012.

 1. Mwalimu

  Mwalimu JF-Expert Member

  #1
  Aug 29, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 1,475
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 160
 2. elmagnifico

  elmagnifico JF-Expert Member

  #2
  Aug 29, 2012
  Joined: Jul 7, 2011
  Messages: 7,913
  Likes Received: 7,458
  Trophy Points: 280
  apple wanaogopa sana competetion, leo nilikuwa naangalia GBS samsung galaxy s3 aisee noma next level.
  Halafu ukweli ni kwamba mtu hawezi changanya apple na samsung ukizitazama zna utofauti
   
 3. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #3
  Aug 29, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,788
  Likes Received: 7,109
  Trophy Points: 280
  Kali ni samsung au android 4? Maana appearence iwe samsung, htc, motorola, lg, huawei zinafanana

  Samsung wao wanamiliki bodi la simu na machine za ndani wameunga unga.

  Apple ye amewashtaki kwa appearence ya nje tu na sio os wala camera wala ram wala processor
   
 4. elmagnifico

  elmagnifico JF-Expert Member

  #4
  Aug 29, 2012
  Joined: Jul 7, 2011
  Messages: 7,913
  Likes Received: 7,458
  Trophy Points: 280
  android ni kali, ila kumbuka samsung wana customize pia hiyo android kukidhi matakwa yao ndiyo maana apple hajampeleka mahakamni google kwa samsung galaxy kuwa na string effect ukiclick icone coz hiyo ni feature walio iwekea samsung wenyewe. so samsung wana go beyond kutumia android tu wana i customize zaidi ndo maana si kila simu inayo run android 4 ina siri, visual expression recognization, na mengine kama ilivyo samsung galaxy s3.
   
 5. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #5
  Aug 29, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,788
  Likes Received: 7,109
  Trophy Points: 280
  Anha hapo mekuelewa ila hata mi nilivoviona hivi vi icon ukubwa wake na maumbo yake vinanitatanisha

  [​IMG]

  Waache wagombane weee wp8 aja
   
 6. elmagnifico

  elmagnifico JF-Expert Member

  #6
  Aug 29, 2012
  Joined: Jul 7, 2011
  Messages: 7,913
  Likes Received: 7,458
  Trophy Points: 280
  ila kweli chief icone naona mshikaj kaiga flani size na mpangilio flani. Haaa acha wagombane ka ulivyosema hii itazidi wapa machungu tengeneza zaidi na zaidi
   
 7. Mwalimu

  Mwalimu JF-Expert Member

  #7
  Aug 29, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 1,475
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 160
  Apple wameona competition kutoka Samsung ni kubwa sana ndio maana wanajaribu kujihami... Lakini mwisho wa siku lazima Samsung atakuja kuwapiga bao manake hii S3 haiko kwenye list ya simu zilizoshitakiwa na ukiiangalia ni kali mno kuliko Iphone.
   
Loading...