Nina hiyo software lakini inataka niweke product key,kwamaana ya kwamba ni trial varsion,kwahiyo kama kuna anayejua jinsi ya kufanya ili iendelee kutumika au kama kuna nyingine ambayo ni free completely.Natanguliza shukrani
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.