KINGAMUZI CHA ITV na STAR. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

KINGAMUZI CHA ITV na STAR.

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Wikiliki, Aug 25, 2012.

 1. Wikiliki

  Wikiliki JF-Expert Member

  #1
  Aug 25, 2012
  Joined: Dec 20, 2010
  Messages: 529
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Wana jf kuna wakati tulisikia itv na star tv wanaanzisha king'amuzi chao na kitaanza kazi september. kuna mtu anajua wamefikia wapi.
   
 2. m

  mhondo JF-Expert Member

  #2
  Aug 25, 2012
  Joined: Apr 23, 2011
  Messages: 970
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  Ndiyo maana hawaonekani tena kwa ghafla Startimes?
   
 3. Likasu

  Likasu JF-Expert Member

  #3
  Aug 25, 2012
  Joined: Jan 18, 2011
  Messages: 694
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 45
  umeona eeeh ?
   
 4. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #4
  Aug 25, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Startimes ni wangese sana wameweka startv,itv na eatv ghafla wameziondoa bila maelezo yeyote kweli tanzania hatuna mamlaka(so called tcra) kabisa!
   
 5. Codon

  Codon JF-Expert Member

  #5
  Aug 25, 2012
  Joined: Dec 16, 2011
  Messages: 629
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Walitaka wapandishe mauzo mwezi huu!Siunajua hii nchi,watu wanajipangia wanavyotaka then wanaumua wanavyotaka!Ingekuwa nchi zingine wananchi wangedai fidia!Tanganyikaaaaa......!Kila jambo ndio mzee!
   
 6. Officer2009

  Officer2009 JF-Expert Member

  #6
  Aug 25, 2012
  Joined: Dec 20, 2010
  Messages: 563
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 45
  TCRA is a toothless dog, it can't bite these con- chinese.
   
 7. LE GAGNANT

  LE GAGNANT JF-Expert Member

  #7
  Aug 25, 2012
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 1,247
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Wameniudhi sana. Silipii tena vocha yao ikimalizika muda, tena ningeingia mkenge kwani nilitaka kulipia miezi mitatu baada ya kuona emmanuel tv, itv, star tv na ea tv. Hawanipati tena wapuuzi kabisa hawa.
   
 8. angedizzle

  angedizzle JF-Expert Member

  #8
  Aug 25, 2012
  Joined: Aug 8, 2011
  Messages: 560
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 80
  startimes wana haki ya kuondoa au kuweka channel mpya..........,mkataba ndo upo hivyo,kwa hiyo kuweni wapole tu
   
 9. Anko Sam

  Anko Sam JF-Expert Member

  #9
  Aug 25, 2012
  Joined: Jun 30, 2010
  Messages: 3,216
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Siasa mpaka kwenye ving'amuzi?
   
 10. N

  NasDaz JF-Expert Member

  #10
  Aug 27, 2012
  Joined: May 6, 2009
  Messages: 11,308
  Likes Received: 1,651
  Trophy Points: 280
  Hapa wa kulaumiwa sio StarTimes, bali ni hao ITV na Star TV. Kwa mujibu wa sheria, Station za bure kama vile ITV na Star TV ni lazima ziwepo kwenye ving'amuzi vyote ili kuondoa uwezekano wa kuwafanya wananchi kuwa na king'amuzi zaidi ya kimoja...hili ni jambo lisilokubalika. Hivyo basi, ITV na Star TV wanalazimika kisheria kupeleka vipindi vyao Star Times....so, wasipopeleka Star Times hawana namna ya kulazimisha kuweka vituo hivyo kwenye ving'amuzi vyao. Hapa kinachotakiwa ni TCRA kukaa pamoja na hao wanaogoma (ITV na Star TV) ili ifahamike ni kwanini hawapo tayari kupeleka vipindi vyao pale....labda inawezekana ni suala la ki mkataba zaidi; wameshindwa kukubaliana terms nd condition. Therefore, hata kama ITV na Star TV watakuwa na ving'amuzi vyao, bado wanalazimika kupeleka vipindi Star Times na watoa huduma wengine wote no matter what otherwise, wajibadilishe na kuwa Pay TV.
   
 11. Kiherehere

  Kiherehere JF-Expert Member

  #11
  Aug 28, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 1,804
  Likes Received: 245
  Trophy Points: 160
  hahahahaaaa.....nikiicheki hiyo avatar yako....alafu nikaconect na hapo kwenye RED .....kilichobaki ningekuona na wewe ili niweze kupata triangle ya ukweli. Nimeipenda kaka
   
 12. Kiherehere

  Kiherehere JF-Expert Member

  #12
  Aug 28, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 1,804
  Likes Received: 245
  Trophy Points: 160
  Mzee ulichoweka hapo nadhani haujafanya utafiti!!! eti niniiiiiiiii?? Ni LAZIMA?? Nani alikwambia kuwa ni stesheni za bure??? Acha hizo wewe usitake tujaze seva za watu....hapa nakukubalia labda ""mikataba baina ya ITV & STAR TV v/s STARTIMES ndo tatitizo......
   
 13. K

  Kakalende JF-Expert Member

  #13
  Aug 28, 2012
  Joined: Dec 1, 2006
  Messages: 3,259
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 135
  TCRA imewapa licence ya pamoja, lakini baado kuanza huenda mambo ya mtaji yamewakwamisha.
   
 14. Shaffin Simbamwene

  Shaffin Simbamwene Verified User

  #14
  Aug 28, 2012
  Joined: Nov 16, 2008
  Messages: 1,154
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Mamode mnyakeni huyu natukana kisiasa aiseee dah!!!!!
   
 15. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #15
  Aug 28, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,802
  Likes Received: 163
  Trophy Points: 160
  Terms and Conditions Applies = Vigezo na Masharti Kuzingatiwa...!

  Muwege mnasoma Masharti na Vigezo, siyo kubebaga Decoder na kuendaga kuwaringishiaga majirani...!
   
 16. P

  Paul S.S Verified User

  #16
  Aug 28, 2012
  Joined: Aug 27, 2009
  Messages: 5,933
  Likes Received: 276
  Trophy Points: 180
  Mkuu wewe ndio hujafanya utafiti
  Kwa mujibu wa muongozo wa TCRA
  inatakiwa kila mrusha matangazo aweke local chaneli za free kwenye king'amuzi chake na hata kama malipo yako ya mwezi yakiisha basi local chanel zote zinatakiwa ziwe zinaonekana bure hizi ni pamoja na ITV,EATV,CAPITAL,DTV,STARTV,CTN,TRINIT,C2C,AGAPE nk hizi zinatakiwakuwa katika kila king'amuzi tena ziwe free kwa maana subscription yako ikiisha kwa mwezi basi chenel zingine zote zikate lakini hizi ziendelee kuonekana ktk kila king'amuzi. Iwe STATIMES,TING,EASYTV

  Hii imewekwa makusudi ili kumpunguzia mzawa usumbufu wa kuwa na kila king'amuzi ili kupata local chanel

  NB:
  Hii haiwahusu DSTV
   
 17. Johnsecond

  Johnsecond JF-Expert Member

  #17
  Aug 28, 2012
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 1,077
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  uko sahihi lakini watekelezaji wa hilo agizo wanawaogopa star tv na itv kwa sababu za kisiasa, na ndo mkwamo uulipo hapo maana tbc isyokuwa na waandishi mahili ndo inaonekana hivyo
   
 18. N

  NasDaz JF-Expert Member

  #18
  Aug 28, 2012
  Joined: May 6, 2009
  Messages: 11,308
  Likes Received: 1,651
  Trophy Points: 280
  paulss ameelezea kwa undani kama jibu kuhusu post yako....labda tusaidie mwenzetu ambae umeshafanya utafiti!! Mwongozi, kama alivyosema paulss unasemaje kuhusu Free To Air?! Umeshangaa kuziita ni za bure; je unataka kuniambia kwamba hizo ni Pay TV?! Kwani hivi sasa mtu anatakiwa kulipa kiasi gani cha fedha ili aweze kuziona ITV na Star TV?! Leo hii nikinunua antena yangu hata ya tube light siwezi kuziona hizo channels?! So, if i can watch them freely without monthly subscription, why should i then pay to watch them simply because natumia king'amuzi?! Hata kama hutaki, ukweli ndio huo....inavyotakiwa ni kwamba Local FTA ziwepo kwenye ving'amuzi vyote coz' yule mwananchi wa kawaida haitakiwi kumwingizia gharama za ziada kutokana na kuingia kwenye digital world.....wanachofanya ITV na Star ni jeuri tu; nalo ni suala la muda tu lakini hata kama watakuwa na ving'amuzi vyao bado hawana budi ku-release mawimbi yao kwenye ving'amuzi vingine!! Kama ni kweli wana mpango kuwa na ving'amuzi vyao basi wanachofanya ni kununua muda tu coz' wanafahamu kuwa local channels zote zikishakuwa available kwenye ving'amuzi vyote basi vya kwao ambavyo wamechelewa vitakuwa havina soko; at least kutoka kwa wale ambao interest/uwezo wao ni local channels peke yake.
   
 19. Kiherehere

  Kiherehere JF-Expert Member

  #19
  Aug 29, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 1,804
  Likes Received: 245
  Trophy Points: 160
  Tambua kwanza "ubure" unaozungumzia ulikuwa kwenye analogy tech bro!!! sasa tambua wazi kuwa hizi channels zinapoingizwa kwenye king'amuzi ni lazima aangalie vitu kadhaa!!.

  1. Uwezi ilinganisha Sibuka,Clouds,Mlimani TV,Channel ten, DTV nk....ukazilinganisha na STAR & ITV....tambua wazi kuwa katika mfumo wa analogia channels hizi ""Zina masafa marefu kulinganisha na hizo""". Pia tambua katika mfumo wa biashara ya pamoja hizi sasa zitakuwa zinalingana masafa...in this case...katika mfumo wa analogia...tangazo moja katika ITV/STAR linaweza kuwa na thamanai zaidi ya mara tano ya TV nilizo zitaja hapo juu.

  2.Unapooingiza local channel katika mfumo wa analogia, tambua sasa Channel 10 itakuwa na masafa sawa na ITV, au TV sibuka itakuwa na masafa sawa na STAR TV...kitu amabacho tambua term katika kuingia katika king'amuzi husika ""ZITAKUWA TOFAUTI KWA ASILIMIA zaidi ya 80"" ukizingatia na system waliyonayo sasa.

  3.Tambua kwa kuziita "za bure" ni kutokana na mfumo uliokuwapo ni analogy...ndio wenyewe uliokuwapo, na kulikuwa hakuna jinsi nyingine, ila kwa kuwa sasa tunaenda kwenye digital, UTALIPIA TU UTAKE USITAKE...sasa inakuwaje mtu aziite ni za bure wakatai kulikuwa hakuna mfumo wa kulipia?? Mfumo uliokuwapo si wa kulipia alafu jamaa anadai ni za bure...sasa tutaona kama ni za bure pindi mfumo wote uwe digital....hakuna cha bure mzee. Ndicho ninachopinga.
  ""mtihani siyo kigezo cha kujua ni nani mwenye akili....ila ndio kilichopo""

  4. Tambua pia kwa mfumo wa digital, TCRA, kwa jinsi moja au nyingine inabidi kutoa ruzuku kwa hizi channel ndogo ili ziweze kuingia katika mfumo wa ushindani kwa kuwa wao kama wao hawakuwa wamejaipanga katika kipindi kuingia matika mfumo shindani na channels kubwa.

  5. Sasa basi inabidi ukubaliane nami kuwa ITV na STAR TV, ndio private channels kubwa na zenye masafa marefu kwa Tanzania, so hawawezi kuwa na mikataba sawa na mlimani TZ.

  Pili sio lazima kujiunga na king'amuzi flani..kaka, nimatakwa ya mtu...kwa kuwa hakuna sheria inawabana, na istoshe "HAKUNA KING"AMUZI CHA TCRA, au serikali.

  Nawasilisha
   
 20. M'Jr

  M'Jr JF-Expert Member

  #20
  Aug 29, 2012
  Joined: Jul 8, 2011
  Messages: 3,539
  Likes Received: 152
  Trophy Points: 160
  Umesahau kama kuna sheria za biashara pia pamoja na hakimiliki ambazo zinawapa haki ITV na Star Tv kuamua ni nani wanamruhusu kutumia matangazo yao (Hasa kama mtu huyo anatumia kibiashara kama Startimes) so itv na star tv wana uwezo wa kuamua nani wanamruhusu kurusha matangazo yake kwasababu hizo ni biashara na zina business strategies zake
   
Loading...