Wadau naomba kujuzwa ni mtandao gani ni rahisi zaidi kwa maana ya charges kupiga simu nje hasa nchi za Uk na Us,mini ni mtu ninaejaribu kuanza kujihusisha na vijibiashara toka nchi hizo mbili,sasa naona gharama
why ustumie skype?
Ni centi 2.3 za kimarekani kwa dakika 1 sawa na kama shilingi 35 za kitanzania.
Na zipo subscription za unlimited kwa mwezi nafkiri ni kama elf 5 kwa mwezi (kupiga marekani tu)
sema na wewe itabidi uwe na internet
kiongozi how do i recharge hii skype?why ustumie skype?
Ni centi 2.3 za kimarekani kwa dakika 1 sawa na kama shilingi 35 za kitanzania.
Na zipo subscription za unlimited kwa mwezi nafkiri ni kama elf 5 kwa mwezi (kupiga marekani tu)
sema na wewe itabidi uwe na internet
Asante mkuu,internet ninayo na hata skype nimejiunga nao,tatizo ni kua baadhi ya wadau wangu wa nchi hizo hawako skype!
kiongozi how do i recharge hii skype?
you mean kale ka visa kangu ka crdb naweza nunua nako salio la skype!!!sasa mimi na ushamba wangu wa kikurya hawawezi kunikwangulia visenti vyangu vyote!!!!nafkiri paypal inakubali na pia unaweza tumia kadi yako ya benki ya VISA au MASTERCARD
you mean kale ka visa kangu ka crdb naweza nunua nako salio la skype!!!sasa mimi na ushamba wangu wa kikurya hawawezi kunikwangulia visenti vyangu vyote!!!!
labda CRDB tena lazima ukaandike barua ili wa-eneble kadi yako kutumika kwenye mitandao mashariti ya beki zingine ni magumu sana..nafkiri paypal inakubali na pia unaweza tumia kadi yako ya benki ya VISA au MASTERCARD
mkuu skype kwa skype ni bure kabisa nimekutajia bei ambazo ni skype kwenda simu za mkononi au skype kwenda simu za mezani so hao unawapigia hawahitaji kua na skype.
Unaweza shangaa udogo wa bei lakini skype ni ya marekani ndio maana unaona cheap.
utawashitaki wapimkuu hawawezi cha muhimu uwe unaelewa tu wasije kutega kimtego kidogo wakawa wanakukata kila mwezi japo unajiunga.
Unapofanya transaction kama hizo onlime kunakua na bank statement inayoonyesha hela ilipoenda walichukua zaidi unawashtaki tu
utawashitaki wapi
sawa mkuu kumbe mahakama ina mkono mrefu kiasi ikomahakamani