msaada jinsi ya kupata d3dx9_30.dll for playing games

Tangopori

JF-Expert Member
May 11, 2012
1,628
2,000
nna game la PES (pro evolution soccer 2010) ila limekataa kujiinstall kwenye win 8 linanipa sms kwamba computer yangu haina d3dx9_30.dll
sasa sijui jinsi ya kuipata naombeni msaada nimegoogle ila kila nayopata nikiweka bado ujumbe unakuwa uleule!
 
Michael Amon

JF-Expert Member
Dec 22, 2008
8,763
2,000
nna game la PES (pro evolution soccer 2010) ila limekataa kujiinstall kwenye win 8 linanipa sms kwamba computer yangu haina d3dx9_30.dll
sasa sijui jinsi ya kuipata naombeni msaada nimegoogle ila kila nayopata nikiweka bado ujumbe unakuwa uleule!

Download latest Microsoft Direct X 11 HAPA extract then install kwenye PC yako. Ukishamaliza ku install utaweza kucheza game yako bila tatizo lolote.
 
sijui nini

JF-Expert Member
Sep 29, 2010
2,554
2,000
isitoshe game nyingi zinazohitaji directrix huwa wanaweka na setup file yake ndani ya cd/image unayotumia kuinstall game..jaribu kuangalia vizuri utaiona..
 
Tangopori

JF-Expert Member
May 11, 2012
1,628
2,000
Download latest Microsoft Direct X 11 HAPA extract then install kwenye PC yako. Ukishamaliza ku install utaweza kucheza game yako bila tatizo lolote.

nimedownload mkuu ila inaniambia type the lacation where you want to extract your files sasa nashinda kuelewa niyaweke kwenye location gani ili yafunction!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom