Namna ya kuflash modem iwe inapokea laini mbalimbali

Namna ya kuflash modem iwe inapokea laini mbalimbali

kabilili

Member
Joined
May 30, 2012
Posts
50
Reaction score
4
Wajameni naombeni msaada wa jinsi ya ku unblock modem ili niwe natumia laini mbalimbali maana nataka kusafiri na huko niendako mtando ni tatizo
 
nenda pale kwenye Search afu andika aina na model ya modem yako utapata post nyingi kama ukikosa sema aina na model ya modem yako hapa.
 
Kha na hyo heading ako ni Nouma aisee,
haya modem ip wataka 2mia line zote?
 
Back
Top Bottom