Msaada wa Kujua Iphone 4s Original na Fake

Msaada wa Kujua Iphone 4s Original na Fake

Ndallo

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2010
Posts
7,621
Reaction score
4,312
Wakuu naomba msaada wa kujua kuhusu hizi simu za kisasa, kati ya Iphone 4s original na ambayo sio original! Asanteni sana.
 
Nenda settings then weka airplane mode ON Kama icon ya 3G itatoweka basi ni original ila isipo disappear iyo ni fake but ngoja wataalam watuambie
 
Kama una laptop instal iTunes then connect your iPhone it will recognise it, if not.. Might be fake!
 
kuna thread iliwahi kuandikwa humu inawezakukusaidia search" jinsi ya kutambua iphone fake utaipata
 
Back
Top Bottom