Nani mwenye window8 activator

Nani mwenye window8 activator

Moyibi

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2012
Posts
1,054
Reaction score
704
wapi naeza pata window 8 activator..please kama kuna mtu anaYo naomba a post link ili niweze ku-unstall kwa sabäbu napata shida sana katika suala zima la internet kwenye ma laptop..natanguliza shukran zangu
 
Damn.... This file is no longer available because of claim by Microsoft Anti Piracy.

 
Crackers inaonekana wamechemsha mpaka sasa kwenye Windows 8, activator zote ni temporary siku 180, inabidi urudie upya, MS wamewashika pabaya this time.
 
Crackers inaonekana wamechemsha mpaka sasa kwenye Windows 8, activator zote ni temporary siku 180, inabidi urudie upya, MS wamewashika pabaya this time.

Nah wamekuja kuharibu wenyewe baada ya kugawa keys ya ku upgrade to media center buree. coz ukisha activate na iyo kms server siku (180) na ukijatumia na izo key wanazo gawa bure inakuwa permanent activation.
 
Back
Top Bottom