Mrimi
JF-Expert Member
- Jul 18, 2011
- 1,691
- 641
Wakuu naomba kuuliza:
1.Hivi yale madishi ya internet tunayoona ktk taasis mbalimbali za serikali na private,mtu binafsi hawezi kufunga ktk nyumba yake?
2.Je,speed ya internet yake ikoje?
3.Nikitaka kufungiwa natakiwa nizingatie mambo gani?
4.Gharama zake zikoje;kufungiwa hadi malipo,na malipo yanafanyikaje?
5.Ni kampuni gani hapa kwetu(TZ) inatoa huduma hii?
Naomba kuwasilisha...