Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Connectify Dispatch v4.2 is here. This new Dispatch release adds features and improvements while fixing several bugs from the v4.1 release: User Interface Improvements: Better use of vertical...
1 Reactions
3 Replies
4K Views
kumbe vile vitisho vilikuwa vya kitoto mimi na masimu yangu matatu ya kichina bado yanapiga kazi kama kawaida vile vitisho vyote havina lolote,nchi hii hata siku moja jambo kama hilo haliwezi...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Msaada bandugu kwa anaejua
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Heshima wakuu. Ni kwamba mwaka jana wakati na install Kaspersky Internet Security (KIS) 2012 niliweka password “Parental Control” sasa nataka kuinstall KIS 2013, in the process of installation...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kila nikitaka kuingia katika forum mbalimbali ambazo zina spam filter hii public IP ya voda inakuwa blocked. Mfano wa message ni huu: Error 403: Forbidden If you get this page trying to login...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
wakati leo nokia wakitangaza mapato yao na kuonyesha comeback ya nguvu pia wametangaza habari za kuhuzunisha sana kwamba nokia 808 ndio simu ya mwisho ya symbian na kuanzia leo symbian is dead...
1 Reactions
57 Replies
6K Views
Natumia nokia 2700(nokia expres).nifanyaje ili niweze kudownload video kwenye cm? Pia kuna program ya kuedit picture inayopatikana kwenye cm?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nimejaribu kuidownload ile software ya kukonect mitando mingi kwa pc aloweka ethemiza imekubali kudownload ila tatizo ni imekuja kama fail fulan then nkifungua inaeleta mandish yasiosomeka sasa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari yenu wakuu! Kuna hzi terminology ambazo huw naziona kwenye computer lakini huwa sijui maana yake! Kwa anaejua naombeni kujuzwa! Nawasilisha!
0 Reactions
6 Replies
2K Views
wadau kama kuna mtu ana utaalamu na hii software basi aniPM ili tuweze kubalisha ujuzi tulio nao.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
heshima kwenu wakuu. simu yangu imeanza kushindwa kufungua operamini na ucbrowser inaandika failed to connect to internet mwanzo ilikuwa inaconect kama kawaida. natumia samsung GT-3300i samsung...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Coming Soon! www.bid2buy.co.tz is a Tanzania's leading penny auction website where brand new and used electronics, jewellery, watches and accessories fall under the auction hammer everyday and...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
THE DIFFERENCE BETWEEN CORE I3, CORE I5, CORE I7... Core i3: * Entry level processor. * 2-4 Cores * 4 Threads * Hyper-Threading (efficient use of processor resources) * 3-4 MB Cache * 32...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu ninafanya biashara ya kuuza madini na ningependa kutengeneza website ambayo itakuwa kama marketing tool locally and internationally. Msaada wenu wakuu juu ya gharama na jinsi ya kufungua...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Natumia samsung chat duos ila inagoma kudown load operamin, pia inagoma ku download games, naomba mautundu ili niondoe tatizo hili..natanguliza shukrani.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hi guys, mi ninataka kununua digital camera, ila sijui ninunue ipi, au ni ipi nzuri kati ya samsung(16 megapixel) au sony (14 megapixel). Naombeni ushauri wa ni ipi nzuri zaid, na maana ya hizo...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Wakuu nauliza ninawezaje kuingiza vitu kama music, picha, na nyaraka nyingine kwenye i pad. Je kwa kutumia i pad naweza ku type an ms word document ?
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wadau wenye cobla tuongee biziness nataka kununua driver yangu cobra 2010 by muhamed ally imearibika so nahitaji kama unayo au mtu anielekeze zinapouzwa nitashukuru npo dar wakuu
0 Reactions
0 Replies
712 Views
Habari zenu wakubwa, Nina maswali machache kuhusu hizi mashine za TRA (ELECTRONIC FISCAL DEVICES) kwa upande wa software development pale ninapohitaji kufanya integration na accounting software ya...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wakuu kama kuna mtu ana njia ya kunisaidia kuinstall call function kwenye hii kitu. Nasikia siku hizi inawezekana. Mwenye maujuzi tafadhali. Sent from my GT-P7500 using Tapatalk 2
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…