Nimejaribu kuidownload ile software ya kukonect mitando mingi kwa pc aloweka ethemiza imekubali kudownload ila tatizo ni imekuja kama fail fulan then nkifungua inaeleta mandish yasiosomeka sasa bandugu mwenye mayo atpie wat wangu
kweli asee vimekuja kama text file