Kama una akaunti ya gmail naweza kukusaidia. Fanya hivi:
1 Download file a PDF
2. Sign in katika akaunti yako ya gmail
3.Ingia kwenye html version ya gmail kwani mobile haitaweza
4.Compose email kenye 'send to' weka ID yako mwenyewe
5. Usiandike kitu kwenye message field ila ukitaka andika TITLE ya msg yako
6. Attach PDF file ulilodownload kisha
7. Send
8. Kisha fungua inbox yako, utakuta hiyo msg, ifungue
9. Ukifungua utaona options 2: download PDF file na view as HTML, chagua view as html
**Usishangilie lakini, sio mafaili yote ya PDF yanakubali kufunguka pengine kwa sababu ya ukubwa au sababu nyinginezo.