Vodacom Public IP Blocked as Spam- Why?

Vodacom Public IP Blocked as Spam- Why?

Mtangoo

JF-Expert Member
Joined
Oct 25, 2012
Posts
6,163
Reaction score
5,624
Kila nikitaka kuingia katika forum mbalimbali ambazo zina spam filter hii public IP ya voda inakuwa blocked.
Mfano wa message ni huu:
Error 403: Forbidden
If you get this page trying to login or register on forums, it means our security system thinks you're using spam relay or your ISP address is blacklisted.

Hawa Voda wanajua? Na kama wanajua mbona hawatatui? Au mpaka tujiunge na FB tuwaambie huko.....Arghhhhhhhhhhhh!
 
Hata huko fb hawajibu mkuu, wakishaweka status basi kazi kwisha nyie mta-comment mpaka mchoke hakuna atakayewajibu wenyewe wapo bize.
 
Hata huko fb hawajibu mkuu, wakishaweka status basi kazi kwisha nyie mta-comment mpaka mchoke hakuna atakayewajibu wenyewe wapo bize.
Ikitokea alternative nahama aisee!
 
Sio moja ni nyingi tu. inaonekana iko blacklisted.
Mfano ProFTPD forum au hata Ku login ktk VLC forum

yeah sehemu nyingi tu hata mi nakutana nayo. Why usinunue vpn mkuu.
 
Kila nikitaka kuingia katika forum mbalimbali ambazo zina spam filter hii public IP ya voda inakuwa blocked.
Mfano wa message ni huu:


Hawa Voda wanajua? Na kama wanajua mbona hawatatui? Au mpaka tujiunge na FB tuwaambie huko.....Arghhhhhhhhhhhh!

Unatumia Modem au Fixed Line?maana ninavyojua mimi kama ni modem IP zitakuwa dynamic....ila kama fixed line hizo IP zako zinatakiwa ziombwe kuwa free!!
 
Hii imezidi sasa:

Your computer IP address is blocked from registration. If you are using proxy please disable it and try again. Alternatively you can try to register from a different computer or ask your friend to fill a registration form for you.

​jamani msaada wowote?
 
Mie hata jamii forum huwa cwez kuingia kwa mtandao wa voda mpaka airtel au n2mie wap site kwa simu! Nlidhani kwangu tu bt now i see its da common prob
 
daaa hii ishakuwa hatari sasa yani kila nnapoingia inashindikana
 
Hii inatokana na mtandao unavyofanya kazi, wateja wote wa voda tunashare kiasi kidogo cha extrernal IP addresses, kwa kifupi ISPs wanatumia NAT kukabiliana na uhaba wa IP addresses na kuleta security/anonyimity fulani kwa watumiaji.

Sasa tatizo linakuwa ni kwamba kuna PC moja kwenye mtandao wa Voda iko infected na virus za kutuma SPAM kunakuwa hakuna njia kwa mpokea SPAM kutofautisha ni PC ipi inatuma, kwa vile wanaona external IP tu, ambayo wote tunaitumia, hivyo wakii blacklist hiyo IP wote tunaumia.

Kwenye situation hii ni kwamba kuna PC za Bongo zinatuma SPAM kwa vile ziko infected na Botnet, hivyo IP imekuwa blacklisted

This IP is infected (or NATting for a computer that is infected) with the kelihos spambot. In other words, it's participating in a botnet.

Na hizo forum zinaitumia hiyo blacklist kimakosa, haitakiwi kutumika kublock website access, inatakiwa itumike kudetect SPAM tu.

Suluhisho rahisi kwako ni kuregister account kwa kutumia mtandao mwingine, kama wanablock kwenye registration tu, kisha uwe unalogin kama kawaida kwenye PC yako, pia uanweza kutumia proxy wakati wa kuregister kubadili external IP yako.

Suluhisho la kudumu linabidi lifanywe na Voda kwa kublock Port ya email (25) hii itazuia majority ya SPAM kutoka kwenye network yao.

NATs
 
Back
Top Bottom