Wapendwa habari za wakati huu,
Samahani naomba kujua Kati ya google pixel 6 plain na IPhone 11 Nani mkali zaidi katika camera, betries, storage, quality na mengineyo mengi mengii ya ndani msaada...
Habari wakuu, nauza simu yangu binafsi ikiwa katika hali nzuri kabisa. Sababu ya kuuza ni kupata changamoto ya kifedha inayohitaji utatuzi wa haraka.
Sifa za Simu:
Model: Redmi Note 14 Pro 5G
RAM...
Wakuu kwema. Na imani mnaendelea poaa. Wahenga walisema kama nitakuwa sijakosea "omba nyavu ukavue samaki mwenyewe kuliko kuomba samaki kila siku"
Naomba msaada wenu kwenye hili kwa yule...
Habari. Msaada tafadhali... Ofisini hapa tumejichanga tumenunua Router ya ZTE model K12 unlimited bundle.
Sasa issue inakuja kwenye kuunga kwenye Laptop yangu Dell Latitude 3340. Wenzangu wote...
Naomba msaada wa kupata software amboyo itaniwezesha ku control user katika matumizi ya mtandao internet ili niweze kutambua mtu mwenye matumizi makubwa niweze kulimit.
Router zenye uwezo mkubwa bei yake ipo juu sana. Sasa nikaanza kufanya research ya kama PC ikiwa na Windows OS ya kawaida kama inaweza kufanya kazi kama Router. Nilihangaika mpaka kuja kupata...
Wadau heshima kwenu,mgeni kidogo hapa,msaada tutani nina sj 5 na kwenye kizibo oil inayotakiwa nimeona ni OW 20,na nimekuta kuna kampuni mbili aina ya alphard titanic ila nimeshangazwa sana na...
UNAWEZA nambia Kuna ulazima WA Mimi KUWA na router ILI KUWA na unlimited?
Je siwezi KUWA monitored nikiwa na unlimited Kwa card ya simu?
Kama router ni Kwa ajili ya ofisini na majumbani vipi Kwa...
Habarini wadau.
Baada ya kuweka uzi wa maoni yangu juu ya kamera ya simu ya Iphone 13 Pro maarufu kama macho matatu, Wadau wengi ambao hawatumii Iphone wala Samsung waliona kama wametengwa...
Microsoft office, word, excel, n.k - $99.99 kwa mwaka (Tshs 245,000 )
AutoCad - $2,095 kwa mwaka (Tshs 5,140.000 )
Photoshop - $263.88 kwa mwaka (Tshs 645,000 )
Adobe Premiere - $263.88 kwa...
Wakuu.
Mimi uwa inachukua miaka miwili au mitatu kubadilisha simu, tukitoa emergency za kupoteza, kuibiwa au kuharibika.
Mara zote nanunua used, uwa natafuta flagship ya miaka miwili iliopita...
##Extend your laptop battery life
1. Use hibernate mode when the laptop will not be used for an extended period.
2. Calibrate the battery periodically by allowing it to discharge and then fully...
Bila dalili za awali, kampuni ya TCL imetangaza mpango wa kununua kitengo cha burudani za nyumbani cha Sony, kinachojumuisha televisheni na vifaa vya sauti vya nyumbani. Kampuni hizo mbili...
Habari za muda huu wanateknolojia
Nikiwa kama mdau wa kusoma vitabu mbalimbali, ni kwa muda sas nimetafuta app inayoweza kuconvert texts to voice note ( hasa kwa pdf books) ili kurahish usomaji...
Mawasalimu kwa jina la jamhuri ya muungano ya Tanzania ni matumain yangu wote mpo salama kama kichwa cha habar kinavyojieleza hapo juu.
Kwa yeyote anayefaham Apps kali ya ku edit picha naomba...