Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Nahitaji laptop iwe Dell au Toshiba Core i7 processor RAM min 4 gb Naweza pata wapi kwa Dar? Kama unauza nipe no ya simu. Asanteni.
0 Reactions
0 Replies
883 Views
Naomba msaada jinsi ya kutoa "This copy of window is not geniune",manualy bila kutumia software . Kwa sorfware najua ,nataka kuongeza ujuzi. Natumia win 7. Natanguliza shukrani
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Habari waungwana! Naomba kufahamu kama kuna software yoyote ninaweza kuinstall kwa Laptop yangu ambayo inaweza kuaccess 3G kwa huku kijijini ambako huduma za 3G hakuna. AU Kama kuna Apps zozote...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Salaam wakuu...Mwenye link ambayo ni rahisi kudownload hii software naomba anisaidie. Maana nimehangaika kutwa nzima nadownload vitu vya ajabu...! Natanguliza shukrani.
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Nijitoe vipi (unsubscribe) kutoka huduma ya Tigo ya Tano Pack?
0 Reactions
1 Replies
955 Views
Wakuu nmenunua kablack berry curve kwa jamaa hapa ila jinsi ya kuunga net ndo inantoa kijasho maana jamaa alifunga service zote km vle watsapp n.k nimeweka kifurush cha bb intrnt ila bado haitaki...
0 Reactions
2 Replies
801 Views
wadau wenzangu nilikuwa nauliza kama kuna mtu ambaye anajua kutengeneza vitu vya 3d kama magari au chumba anisaidie kuniambia program ambayo anatumiaga nina project kubwa n nimekwama kwenye hilo...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Natumia simu ya Blackberry kwenye maswala ya internet, Huduma za Blackberry internet zipo juu sana ukilinganisha na huduma za kawaida za simu nyingine. Naomba msaada wenu kama kuna namna ya...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
HACKERS WAIBOMOA WEBSITE YA CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM -( UDSM ) NA KUUJAZA MATANGAZO YA NGONO Leo mchana, mtandao wa chuo kikuu cha Dar es salaam uliingiliwa na mahackers na...
0 Reactions
33 Replies
5K Views
Habarini wakuu! ebana mimi nawaombeni mnisaidie prog ya adobe photoshop 7 au related adobe photoshop, au link itakayoniwezesha kuipata full na sio trial! natanguliza shukrani wadau! :yo:
0 Reactions
2 Replies
872 Views
Website yawekewa site za ngono ENDELEA KUSOMA Where are we Heading 2?
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Hivi hio wajanja night unaweza ukadownload torrents ? Naombeni mssada kama kuna m2 anajua
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Itakuwa na uwezo wa kucapture picha kwA quality ya 5 mega pixel,kwa uapnde wa video itakuwa ina video resolution ya 720p,itakuwa na storage capacity ya 12 GB of usable memory, synced with Google...
0 Reactions
0 Replies
727 Views
Wapi zinapatikana
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wadau na mdogo wangu nataka nimpeleke chuo akasome diploma ya IT..ni chuo gani bora katika fani hiyo?
0 Reactions
2 Replies
919 Views
Nime install windows 8 kwenye hp laptop imekubali ila nilipo restart laptop ina load mpaka kwenye sehemu ya kuleta kiji mshale cha startup haiji yani nasubiri mpka basi nisaidieni wadau
0 Reactions
0 Replies
733 Views
asalaam aleykum, nataka kuconfigure computer 3 mbili zitumie window 1 iwe linux nizipe ip address na baadae ni niki ping packet ziende toka pc yoyote. nimeweza kuping kutoka kwenye linux kwenda...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
http://www.theworldtoptens.com/top-10-most-expensive-mobile-phones-in-the-world-2013/
0 Reactions
1 Replies
868 Views
naomba msaada wa software ya kuflash simu aina ya nokia kwa usb
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Shalom Wataalamu. Nimerudi tena kwa matumaini kuwa safari hii huenda nitafanikiwa baada ya kushindwa huko nyuma kwa zaidi ya mara tatu. Nina Modem ya Vodacom ya Huawei model E220 HSDPA. Shida...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…