Kwa wataalamu wa networking tu

Kwa wataalamu wa networking tu

shalet

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2013
Posts
3,441
Reaction score
3,613
asalaam aleykum,

nataka kuconfigure computer 3 mbili zitumie window 1 iwe linux nizipe ip address na baadae ni niki ping packet ziende toka pc yoyote.

nimeweza kuping kutoka kwenye linux kwenda kwenye pc nyingine za window inakubali lakini kutoka wkenye window kwenda kwenye window inazingua.
note: connection zote inabidi zifanyike kwa linux.
ip address ninazotumia ni 198.162.1.2 na nyingine 198.162.2.2 mask 255.255.255.0
msaada plz. kwa pc za window
 
Kwanza niseme maelezo yako hayajijitosheleza, umezikonect vipi hizo PC? Connection zifanyike kwa Linux maana yake nini? I.P ya tatu ni nini?

Anyway hizo I.P ulizoweka zipo kwenye network tofauti, hiyo mask 255.255.255.0 maana yake octet 3 za kwanza za 192.168.1.2 na 192.168.2.2 ni za network(subnet) na octet ya mwisho ndo ya hosts(PC) hivyo haziwezi kuonana unless kuwe na routing kati yake.

Weka IP 192.168.1.2, 192.168.1.3, 192.168.1.4, mask ile ile na hizo mashine zote zitakuwa subnet moja na kuonana.
 
hiyo inafanya kazi lakini ishu yenyewe ni tofauti kidogo kama ifuatavyo:-

In this Lab, you will need a Linux machine installed with two Network Interface Cards (NICs). Each of the NICs will connect one computer using a crossover cable. The Linux machine will be responsible for routing traffic between two computers which mimics two different networks. That is, the Linux machine will act as a Gateway for each of the computers (networks). It therefore means you will have to assign two different private IP addresses (blocks of IP addresses) for each computer. Test connectivity between the two computers by using ping command.
 
nakakiwa kuwa na laptop 2 na desktop 1 dektop iwe na linux alafu laptop ziwe na window.
 
Unaona sasa ulivyokuwa hujatulia, unauliza swali kumbe umeficha info kibao!!

Anyway inabidi uwashe ip forwarding kwenye Linux

Code:
echo "1" | sudo tee /proc/sys/net/ipv4/ip_forward

hii itajirudisha ukireboot kwa taarifa zaidi cheki http://askubuntu.com/questions/1519...ions-different-network-in-1-pc-wired-wireless
Kisha hakikisha kila laptop umeset ip ya interface ya linux kama gateway na interface zilizokuwa connected ziwe kwenye subnet moja.
 
Back
Top Bottom