Msaada:Microsoft Student with Encarta DVD premium 2009.

Msaada:Microsoft Student with Encarta DVD premium 2009.

Mliga

Senior Member
Joined
Oct 4, 2011
Posts
101
Reaction score
16
Salaam wakuu...Mwenye link ambayo ni rahisi kudownload hii software naomba anisaidie. Maana nimehangaika kutwa nzima nadownload vitu vya ajabu...! Natanguliza shukrani.
 
hii kitu nishajaribu kugugo lakini wapi.. But kuna ya torrents ishawah kuwekwa humu..
Chukua hapa
 
Salaam wakuu...Mwenye link ambayo ni rahisi kudownload hii software naomba anisaidie. Maana nimehangaika kutwa nzima nadownload vitu vya ajabu...! Natanguliza shukrani.
endelea tu kudownload ukishindwa nitafute nikupe CD uka-copy
 
Salaam wakuu...Mwenye link ambayo ni rahisi kudownload hii software naomba anisaidie. Maana nimehangaika kutwa nzima nadownload vitu vya ajabu...! Natanguliza shukrani.

Mkuu nimekuwa nayo toka 2010 utani pm email yako nikutumie baada ya kupekua DvD zangu.
 
hiyo link hapo inakubali kwa upande wa kwenu??
 
nashkur wakuu kwa michango yenu ya mawazo, leo kidogo siku ilikuwa ngumu. Nitapitia izo link asubuhi na mapema na ntatoa jibu mapema iwezekanavyo.
 
ntakutaarifu mkuu.

hadi leo haujaniambia kama hiyo link hapo inadownload au vipi? na kama umeshafanikiwa au.....??
na assume umeshafanikiwa, hadi kesho nitakuwa nishaifuta
 
Back
Top Bottom