mohammad_othar
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 247
- 42
Hivi hio wajanja night unaweza ukadownload torrents ? Naombeni mssada kama kuna m2 anajua
Mkuu hiyo unadownload chochote kile unachotaka hata nami nilikuwa ninaitumia kudownload hizo torrents file,lakini sasa hivi
ninatumia zaidi IDM.
tupe maujuzi kidogo namna ya kutumia idm
kudownload kituchochote unachotaka.Mfano nataka kudownload movie fulani nafanyaje kwa kutumia idm.msaada wako pls