Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

salaam wakuu! Nina tatizo la moderm za ZTE kutoconnect kwenye pc yangu nikijaribu zinaniambia 'finish your last setup' msaada plz natumia window 8 pro
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Wakuu heshima mbele!Eti jamani battery saving mode ni nini na ina kazi gani?Nawasalisha.
0 Reactions
3 Replies
2K Views
NaweZa kupata wapi spare hiZo Za gari la spacio, na ni bei gani.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wadau naombeni web nzuri ya kupata free template na extension za joomla ukiachana na hizi torrents!! Maana torrents hazina review kabla ya kipakua!!
0 Reactions
0 Replies
847 Views
Wana JF, Leo ni siku ya tatu siwezi kufungua document yoyote ya ms word,kila nikijaribu kufungua napata ujumbe unaosema "There was a problem sending the command to the program",natumia ms word...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wadau kama mnavyojua video call sio maarufu sana kwenye simu zetu sababu kuu ni hawa mobile carriers wetu hawajaipa huduma hii kipaumbele, tumezoea ku- skype kwenye pc zetu(wengi wetu). kwa...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Hivi wakuu, kwani haiwezekani kupost picha kwenye blog kwa kutumia simu. Nimehangaika sana lakini naona nimechemka. Nimetumia Operamini nimechemka. Nimetumia UC Browcer New Version 9.1 bado tu...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wadau mwenye kuelewa na hii simu,,yani ina program zipi ambazo uki install ni nzuri zaidi..?
0 Reactions
0 Replies
619 Views
http://www.connectify.me/new-beta-connectify-6/
0 Reactions
1 Replies
2K Views
wakuu kama kuna mtu anafahamu free homepage (url) ambazo zinakubali tanzania naombeni mnisaidia,mimi ninaifahamu M.twitter.com pekee .... kama kuna mtu anayo nyingine tofauti na hiyo naomba...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Habari zenu ma-technician wa jf! Miye ni mwanagenzi katika tasnia hii ya technologia lakini nina ndoto hapo baadaye kuwa na blog au website. Nawaomba mnijuze tofauti kati ya blog na website...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari wana JF? :help:Jamani naomba mwenye ujuzi wa link ya ku downloa drama za korea full, sio zile za nusu nusu epsode, atuwekee link hapa iw ya free download, maanake nimejaribu sana kutafuta...
0 Reactions
5 Replies
11K Views
Heshima zenu wakuu. Kiukweli napata tabu sana na startimes decoder. Yaani picha zinakwama balaa, nimeweka hadi antennae yao ila hakuna improvement yoyote. Kuna mtu kaniambia nitafute antennae ya...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Google has launched its own Android tool to let users find their smartphone and keep sensitive data safe when a device is lost. Android Device Manager was announced on Friday, saying it would...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
ni yule yule first reseller wa PDPROXY hili ni tangazo kwa ajili ya wateja wa zamani na wapya kuhusiana na mabadiliko ya bei. wale munaotaka kujiunga jisajili hapo Signup - PD-Proxy VPN ukitaka...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Ninatumia laptop aina ya toshiba satellite a300, windows xp ila ina tatizo la driver za VGA, na AUDIO, niliinunua ikiwa na windows vista ila hivi karibuni ilipata tatizo ambalo ilibidi kuiformat...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Miaka miwili iliyopita tulishuhudia moja kati ya jambo kubwa katika historia ya mobile technology, nalo ni kampuni ya Google kuinunua kampuni ya Motorola. Baada ya nunuzi hilo wengi wetu tukawa na...
6 Reactions
33 Replies
4K Views
hii smartphone ni balaa hakika tecno wanajitahidi. mchina kaaamua kuliteka soko la africa kwelikweli kama anavyofanya katika bidhaa nyingine kama pikipiki. naamini amefocus kwenye uchumi halisi na...
0 Reactions
28 Replies
27K Views
KWA wale watumiaji wa android kuna application ya keyboard ambayo imenivutia sana. hivyo nimeamua kushare na wataoipenda kuijaribu. inaitwa multiling keyboard. kama kawaida 1. una install kwanza...
1 Reactions
7 Replies
3K Views
Nikifanya mimi napata kitu hii tokana na skills nilizonazo But, natafuta skills zaidi nipate kufanya kama hii, yaani instructions like hapa weka your name zionekane ndani ya Box, hapo ndo...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…