Website ya ku download korean drama full season

Ngosi

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2011
Posts
391
Reaction score
191
Habari wana JF?
:help:Jamani naomba mwenye ujuzi wa link ya ku downloa drama za korea full, sio zile za nusu nusu epsode, atuwekee link hapa iw ya free download, maanake nimejaribu sana kutafuta mtandaoni naona vipande vipande sijapata full epsone, mimi nataka nidownload athena goddess of war:help:
 
mkuu zishaandikwa hizi uwe unajaribu kuperuzi kwanza kwa msaada wa wengine ingia link hiyo hapo chini
https://www.jamiiforums.com/tech-gadgets-and-science-forum/462011-korean-drama-series.html
 
Habari wana JF?
:help:Jamani naomba mwenye ujuzi wa link ya ku downloa drama za korea full, sio zile za nusu nusu epsode, atuwekee link hapa iw ya free download, maanake nimejaribu sana kutafuta mtandaoni naona vipande vipande sijapata full epsone, mimi nataka nidownload athena goddess of war:help:

Tatizo nyingi za kwenye mtandao hazijatafsiriwa kwenye kingereza
 
Back
Top Bottom