There was a problem sending the command to the program

There was a problem sending the command to the program

Mugaga

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2012
Posts
413
Reaction score
201
Wana JF,
Leo ni siku ya tatu siwezi kufungua document yoyote ya ms word,kila nikijaribu kufungua napata ujumbe unaosema
"There was a problem sending the command to the program",natumia ms word 2007,pia os yangu ni Windows 7 Professional.Nimejaribu kufanya "System Restore" lakini imeshindikana.Naomba msaada wenu wadau!
 
Open Ms office yenyewe utumie File->Open wakati unatafuta nini chanzo!
 
Nashukuru mkuu, nimejaribu hiyo njia nimeshindwa at last nimeamua kuondoa na kuweka os nyingine.
 
Back
Top Bottom