Make a video call in your smartphone

Make a video call in your smartphone

h120

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2012
Posts
2,545
Reaction score
3,370
Wadau kama mnavyojua video call sio maarufu sana kwenye simu zetu sababu kuu ni hawa mobile carriers wetu hawajaipa huduma hii kipaumbele, tumezoea ku- skype kwenye pc zetu(wengi wetu). kwa wasiofahamu ningependa kuwajuza kuna application inaitwa fring inapatikana kwenye platform zifuatazo android, ios na symbian. Hii app ina function kama skype ila yenyewe ni compatible na smartphone nyingi ukilinganisha na skype (kwenye mpango mzima wa video call)
Kitu kingine hautaji kuwa na account, number yako ya simu ndo id yako.
Ili uweze kuitumia unahitaji:
smartphone yenye -ios,android, au symbian OS
camera : simu yako iwe na front camera (secondary camera) au kamera ya mbele wenye simu zisizo na hyo front camera wana uwezo wa ku receive video call ila huwezi ku make video cal
kingine muhimu ni mtu unaye m call lazima naye awe na fring kwa device yake.
Kwa kumalizia pia kuna voice call na text zote ni free of charge.
Kuipata app hii nenda kwenye google play store wale wa androids, ovi store wale wa symbian na app store wale wa ios(iphone,ipod, ipad)
Akhsanteni.
 
mkuu Una Uhakika Siyo Ya Kulipia Kwenye Symbian???

attachment.php
 
Attachments

  • Scr000050.jpg
    Scr000050.jpg
    9.5 KB · Views: 497
nurbert fring kwenda fring bure, fring kwenda mitandao mengine unalipia. same kwa skype, same kwa nimbuzz na wengineo
 
Ok ... so Hapo N sababu sna Contact Yenye Fring!!! (kwanin Skufikiria Hloooooo :doh:
 
Wote sawa tu,tena skype wapo watu wengi but hiyo fring hadi nipate mtu aliyejiunga huko.
 
Wote sawa tu,tena skype wapo watu wengi but hiyo fring hadi nipate mtu aliyejiunga huko.

Ni kweli mkuu ziko sawa lakini skype hai support video call kwenye device nyingine zenye uwezo wa ku fanya video call mfano mzuri ni nokia e52 , c6, c7 na nyinginezo kadhaa ila fring inapiga mzigo kote kote haibagui. Kingine skype mpaka ufungue account wakati ktk fring una register phone number only.
 
mkuu E52 ipi unazungumziiaaa??? Na pia c6 ipi.... Maana hzo zote zna skypika vizur tuuuu.... Maub ww unasemea e52 isiyo na camera labda
 
mkuu E52 ipi unazungumziiaaa??? Na pia c6 ipi.... Maana hzo zote zna skypika vizur tuuuu.... Maub ww unasemea e52 isiyo na camera labda

version ya skype ktk hzo phone hazina option ya video call zote hzo nimejaribu kwa skype na fring lakini alieshinda ni fring
 
hii video call inakura sana pesa, sijaipenda ofa hazihusiki.
 
kati ya fring na tango ipi ina gud kwality???
 
kati ya fring na tango ipi ina gud kwality???

Inategemea na quality n speed ya network signal yako pamoja na quality ya camera yako.
 
Tango Ikopoa sana, halafu wa TZ kibao wanatua tango.

Tango iko poa tatizo hawajatoa kwa symbian os hivyo kwa wenye nokia wengi haiwahusu (excluding wanaotumia windows phone 7 n 8 za nokia)
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom