Paje
JF-Expert Member
- Apr 24, 2010
- 1,185
- 486
KWA wale watumiaji wa android kuna application ya keyboard ambayo imenivutia sana. hivyo nimeamua kushare na wataoipenda kuijaribu. inaitwa multiling keyboard. kama kawaida
1. una install kwanza kisha unaitafuta plugin ya ya kiswahili . nayo itajiinstall yenyewe.
2. unakwenda kwenye settings unachagua multiling keyboard uanondoa ile ya android. hii ni accurate zaidi kuliko ile original keyboard ya android. try for yourself.
3. utaifungua application utafanya configuration zote 5 au 6 alizokuwekea. usisahau kutoa lugha zote ambazo huhitaji. mie nimewezesha kishwahili na english. kubadili kati ya kutype kiswahili au english just bonyeza space bar kwa mda mrefu.
4. itakuwa ina uwezo wa kuagua au ku predict maneno unayoandika, wakati wa kutuma sms, kuchat na nk. mfano huna haja ya kumaliza neno hadi mwisho.
ukianza kuandika yeye anamaliza. icheki hii
https://play.google.com/store/apps/details?id=com.klye.ime.latin