Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Simu yangu ninayotumia Line ya Airtel nikiwapigia Watu wengine wa Tigo, Airtel na Vodacom nawapata nawapata na tunasikilizana vizuri ila kwa Wengine Mimi nawasikia ila Wao hawanisikii kabisa...
2 Reactions
7 Replies
961 Views
Habari zenu ndugu zangu wa Jf,poleni na majukumu ya kutwa nzima. naombeni msaada ama maelekezo ni jinsi gani naweza kutumia whatsapp kwenye desktop bila kutumia emulator ya aina yoyote kama hili...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari zenu wakuu,naomba msaada wa namna ya kuedit documents ambazo zimeandaliwa (scanned) kwa kutumia apps cama camscanner
1 Reactions
7 Replies
2K Views
PM Modi anaangazia wasiwasi juu ya matumizi yake kwa kina katika Ushirikiano wa Kimataifa kwenye Mkutano wa AI*huu Wakati wa mkutano huo, Waziri Mkuu Modi aliangazia kwamba India ni mhusika mkuu...
1 Reactions
1 Replies
575 Views
Nahitaji msaada wenu tafadhali, nimejaribu mara kadhaa ku install ir 2204 kwenye pc lakini ikifikia hatua ya kuunganisha waya, inakaa muda mrefu halafu inaandika imeshindwa kutambua devise...
0 Reactions
1 Replies
464 Views
Katika kupita kwangu mjini YouTube nimebahatika kukutana na Podcast ya Engneer ambae Pia ni Advisory katika cabinert ya ELLON MUSK.Akijaribu kuelezea mambo mbalimbali ya AI na malengo yake Miaka...
1 Reactions
8 Replies
691 Views
Hii itakuwa mara ya kwanza kuunda desktop app na nataka iwe na uwezo wa kudai licence key sitaki mambo mengi lakini nachotaka ni ushauri maana sikuwahi kuunda desktop app kwa maisha yangu yote...
0 Reactions
30 Replies
1K Views
Hizi ni picha mbili zinazoonyesha mazingira yangu ya kufanyia kazi mwaka 2018 na mwaka 2022 , Posts zingine zaidi kuhusu setup yangu ziko kwenye Instagram yangu ambayo natumia username ya...
1 Reactions
11 Replies
722 Views
Baada ya kufunga Antena ya Azam nilipambana kuona INTENSITY na QUALITY lakini naona tu kote inasoma ZERO ingawa chanels zinaonesha. Japo kuna mda kunatokea scratches za hapa na pale kitu ambacho...
1 Reactions
4 Replies
3K Views
Salute, Nina solar panel watts 100, betri N75 charger control na inverter, changamoto ni kwamba inasukuma tv inch 55' , speaker watts 30,000 na kipaza sauti kwa dakika 5- 10 tu. Shida ni nini...
3 Reactions
75 Replies
6K Views
Artificial Intelligence poses “risk of human extinction,”warns ChatGPT founder and other AI pioneers Artificial intelligence tools have captured the public’s attention in recent months, but many...
2 Reactions
26 Replies
3K Views
Sorry. kama kuna mtaalamu wa sound means setting nk naomba tufahamiane
0 Reactions
0 Replies
254 Views
Habar zenu wakuu Yani nakuta simu yangu inafanya App crash yani hytak kufungua gallery eti tatizo ni nini ??? Yani ikifungua inajitoa Msaada wenu kwa anaefahamu please
1 Reactions
3 Replies
391 Views
Watalaaam kwemaa kama kichwa cha habari kinavyo sema, Zaman mm nilikuwa mtumiaji mkubwa wa sites kama pirrate bay kwa ajili ya ku download movies na softwares mbali mbali , lkn siku izi nimekuwa...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Wakuu wa JF kwema? Naomba kujua ni App gani ya simu au PC nzuri kwa kufanya video editing au hata Image editing kwa ajili ya kutangazia biashara online. Nitashukuru sana nikipata msaada juu ya...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Wakuu habari, Kuna kampuni ndogo nategemea kuianzisha hivi karibuni, ambayo baadhi ya kazi zake zitakuwa zikionyweshwa huko 'youtube'; mpango mzima wa kuandaa maudhui utakuwa ni huku Tanzania...
8 Reactions
67 Replies
3K Views
Kumbukizi ya moja ya Games za zamani zilizochezwa sana na watoto na vijana miaka ya 2000 ni Need for speed. Unakumbuka kuicheza? Ulikuwa na umri gani? ipakue hapa chini ukumbushie enzi 🙂 Dah...
13 Reactions
24 Replies
2K Views
Wakuu habari Leo asubuhi nimekuta notification kwamba namba yangu imewekwa nje ya whatsap (log out) Nilipoifungua nikakuta ujumbe namba yangu hairuhusiwi kutumia whatsap. Nashangaa tatizo ni...
0 Reactions
8 Replies
689 Views
Wakuu za mchana Hivi unatakiwa umeet requirement zipi ili uanzeee kulipwaa???
1 Reactions
101 Replies
4K Views
Naomba procedure mpaka niwe na yoube channel na je inagharama yoyote
0 Reactions
1 Replies
289 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…