Iwe na ram 4GB..! Iwe na uwezo wa ku-render programes/softwares zote za 3D..! programes kama AutoCAD, ArchiCAD ziwe applicable..!kuhusu aina iwe ni easy incase of hardware...
I know that GPS involves more than four satelites in space and a Gps tracker device on the ground. What I don't know is the entire process involved until a precise locaton of an object being...
Hello Guys..
Kwa wale wadau wa Series now kuna couple Of awesome series ambazo zinafanya vizuri sana so nimeamua kushare their names ili kama bado hujazicheck ufanye mpango wa kuzipata basi..
If...
Simu mpya Galaxy Note3 tayari iko sokoni ktk soko la ebay bei yake naona iko kati ya $700 sijui ikifika bongo itakuwa bei gani,hii imekuja na Android os,v4.3(jelly Bean) CPU yake 2.3GHT Krait 400...
Tafadhali naomba kujuzwa je kuna uwezekano wa kupata FTA channels za KENYA kwenye EUROSTAR DISH futi 6 C/KU BAND? Je inawezekana kufunga Lnb za C band single 2 na KU band Universal? Na kama ndiyo...
Ndugu zangu habari za siku nyingi mwenzenu nilisafiri wakati nasafiri nilinunua x master sasa jana narudi nfunga aifanyi kazi nimepigia watu cm wanasema zimekata je habari hizi ni za kweri ? maana...
Juzi 31/10/2013 nilijaribu kununua umeme wa 4000/.Ilikuwa saa 2:30 usiku! Nikapata sms kuwa the Luku service is currently busy.you will receive your luku token shortly. You do not need to resend...
Wakuu hawa jamaa wa: www.yify-torrents.com wako poa sana katika maswala mazima ya muvi. Yaan wana muvi za kutosha na pia muvi zao wameziminya kiasi kwamba una weza kudownload muvi ya quality ya...
hellow experts,
naombeni msaada juu ya hilo tatizo!
natumia pc ikiwa na window7 as an OS.
cha ajabu kila wakati nikiingia kwenye mtandao hasa jf nikifungua nyuzi zenye picha, mozilla ina crash...
Nahitaji GIF progress bar kama inayotumika kwenye Windows 8
* Iwe inaenda kama ile ya Windows (yani jinsi dot zinavyoachana na kukimbilia nyingine)
* Animation speed iwe ya kawaida
* Background...
Ni majuzi tu nimeingiza flash yangu kwa job-mate wangu hapa kazini kuchukua kazi fulani nilikuwa nahitaji, cha kushangaza nilipohamisha kwenye laptop yangu ni full kuona mafolder yote na mafile...
Mimi ninaweza kudesign hayo mabango lakini sijajua wapi nitaprint kwa hapa dar.. Ni wapi wanapo
print mabango makubwa ya kutangaza biashara yako,kama hili hapa chini,,,na bei yake ni shilingi...