naomba ushauri laptop gani nzuri kwa matumizi yangu ya chuo i.e programe za kuchorea kama AutoCard, ArchtCard kwa ajili ya kuchorea michoro ya nyumba! bajeti yangu ni laki 5..!nawasilisha
mkuu kama shilling ngap niongezee ili nipate kitu cha maana c unajua hela yenyewe ya boom hiyo..!
Jaribu kutembea kkoo, i3 bei zinaanzia laki 6 na kuendelea. Pia unaweza kuweka tangazo hapa ukaweka budget yako, watu watapost mashine walizonazo na iutapata kwa bei ya ushndani, baada ya hapo unakagua computer na kujiridhisha mnamalizana.
naomba ushauri laptop gani nzuri kwa matumizi yangu ya chuo i.e programe za kuchorea kama AutoCard, ArchtCard kwa ajili ya kuchorea michoro ya nyumba! bajeti yangu ni laki 5..!nawasilisha
una hela nyingi hivyo. autocard na hiyo nyingine ni programs rahisi no much rendering. pc yoyote hata yenye 512MB ram poa tu. ww hiyo laki tano mpaka pc yenye 2gb ram unapata. nipe nikuuzie sasa🙁🙁
hizi ni minimum requirement za software unayotaka kutumia.
1. ram 2g inafaa ila 4gb ndo wamerecomend
2. processor pentium 4 kupanda kuanzia 3ghz ( kama ni i3, i5, i7 hata speed ikiwa ndogo haina neno)
3. display adpter atleast iwe na vram 128mb
4. resolution 1024x768.
kuna baadhi ya aditional function za 3d zinataka ram 4gb.
Autodesk - Autodesk AutoCAD Services & Support - System requirements for AutoCAD