Samsung Galaxy Note3 iko stores tiyari!!!

dkashombo2013

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2013
Posts
538
Reaction score
119
Simu mpya Galaxy Note3 tayari iko sokoni ktk soko la ebay bei yake naona iko kati ya $700 sijui ikifika bongo itakuwa bei gani,hii imekuja na Android os,v4.3(jelly Bean) CPU yake 2.3GHT Krait 400 just to mention few hii ni noma km pc tu
 
Mkuu, hii ni Galaxy phone au Galaxy Tab note????
Hii ni Galaxy Note kioo chake ukubwa ni 8.3mm ni muendelezo wa Note1,Note2 sasa Note3 hii ndiyo sim iliyoko juu ktk android inashindana na Sony Xperia Z1 na LG G2
 
Huu Mzigo nimeuona Jana pale "Samsung-Quality Centre" Jana 28 Oct 2013. Wanausukuma kwa Bei 1.4Ml. Discount hadi 1.35Ml

Hakika nilibahatika kuperuzi, si Mchezo. Kitu kimetulia. Halafu Tachi yake ni Baabu kubwa.
 
Nshachoka na simu mpya. Hii nitaotumia hadi iombe poo manake wanatuchezea akili sasa, eboo!
 
hebu nitoeni ushamba hiyo uliyoitaja ni zaidi ya iphone 5 sijui na masimu gani mengine?nimeshachanganyikiwa nataka kununua simu latest ambayo camera yake iwe safi bila kusahau uwezo wake wa maswala ya internet ili niweze kujiachia.
Nalog off
 
mimi na wewe hatuchekani.........waniambie ni simu gani latest smart phone iliyopo sokoni.....ambayo inabeba line mbili.....nimechoka kubeba mlundikano wa simu............
 
Kama unataka smartphone nzuri ya double line chukua samsung galaxy grand.
 
mimi na wewe hatuchekani.........waniambie ni simu gani latest smart phone iliyopo sokoni.....ambayo inabeba line mbili.....nimechoka kubeba mlundikano wa simu............
nakwambia huku kukaa kaa nyuma kunaharibu mambo kibao.
Nalog off
 
Samsung Arusha branch waliileta long time hadi nimesahau. Huku wanaiuza 1.45 mil.
 
Nimechoka,juzi nimenunua samsung galaxy s4 genuine,na leo naletewa habari nyingine,nikishindana na technology tafilisika,nimebakiza kununua ipad ya apple original basi,sitanunua tena divices za mawasiliano.
 
mkuu hata mtu mwenye galaxy s3 hana haja na note 2, note 3, au s4.

ukishamiliki simu ambayo ni flagship ni jukumu la manufacture kukupa wewe updates.

s4 sasa hv inaanza kupata updates ya android 4.3 inamaana vitu vyote atakavyofanya note 3 na wewe utaweza kuvifanya.

mwakan itatoka s5 yenye android 4.4 na wewe utapata update itayofanya simu yako iwe kama s5 hivyo hakuna haja kila simu inayotoka ununue
 
Nashukuru kwa kunipa moyo mkuu..
 
Ukishindana na teknolojia utaumia. Acha mimi nikomae tu na haka kasimu kangu ka mchina TECNO P3
 
hebu nitoeni ushamba hiyo uliyoitaja ni zaidi ya iphone 5 sijui na masimu gani mengine?nimeshachanganyikiwa nataka kununua simu latest ambayo camera yake iwe safi bila kusahau uwezo wake wa maswala ya internet ili niweze kujiachia.
Nalog off

kwa camera nadhani Lumia watakufaa sana, sema hawana apps nyingi kama androids na ios.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom