Kwa Wataalamu wa maswala ya satellite dish installation. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa Wataalamu wa maswala ya satellite dish installation.

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Mgjd, Mar 1, 2012.

 1. Mgjd

  Mgjd JF-Expert Member

  #1
  Mar 1, 2012
  Joined: Feb 19, 2012
  Messages: 414
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Tafadhali naomba kujuzwa je kuna uwezekano wa kupata FTA channels za KENYA kwenye EUROSTAR DISH futi 6 C/KU BAND? Je inawezekana kufunga Lnb za C band single 2 na KU band Universal? Na kama ndiyo je upo uwezekano wa kupata satellite zipi dish likiwa usawa wa Mashariki? Nisaidieni tafadhali mimi ni mgeni.
   
 2. CORAL

  CORAL JF-Expert Member

  #2
  Mar 1, 2012
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 2,477
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Mimi ninatumia dish aina ya KODTEC ft 6, nimefunga LNB 2 za C band na moja universal KU band. Ninapata channel 3 za Kenya: KBC 1,Family TV na K24. Ni fundi dish anayeweza kuset hizo LNB, na kusearch hizo channel.
   
 3. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #3
  Mar 1, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160

  uwezekano huo upo na kama unataka kupata satelite na channel zake zilizopo upande wa mashariki ingia hapa
   
 4. Mgjd

  Mgjd JF-Expert Member

  #4
  Mar 2, 2012
  Joined: Feb 19, 2012
  Messages: 414
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Nimeona na je kiufundi unaweza kupata eg Hotbird ambayo ina channels za michezo za Arabuni,wakat huo huo ukipata za local? Na je unafunga Lnb ya C band au kale kadogo Ku band?
   
 5. Mgjd

  Mgjd JF-Expert Member

  #5
  Mar 2, 2012
  Joined: Feb 19, 2012
  Messages: 414
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Je hizo Lnb umepanga je? Hiyo universal umefunga upande gani wa C band? Na kwa jumla unapata chanel zipi kwa hzo C band 2. Kwa sasa ninazo C band 2 ambazo zinawezesha kupata local ITV,EATV,CAPITAL,TBC,STAR TV,naCH 10,Tena clear,na pia napata Aljazeera,NHK WORLD(JAPAN),ZNBC1,2,(ZAMBIA) Lakini zilizo nyingi ni India. Hapa pananibore,nataka kubadili muelekeo wa C band hii,je wewe unapata chl zipi ktk muelekeo upi?
   
 6. M

  MSUNZU Member

  #6
  Mar 3, 2012
  Joined: Dec 9, 2011
  Messages: 35
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Unasema unapata ITV,EATV,CAPITAL clear unatumia dishi la futi ngapi?.Mimi natumia la futi sita sizipati kabisa napata startv,chanel ten,tbc1.Nilisikia walihama dish la 6ft na watakuwa wakipatikana kwa 8ft dish.Je walisharudi?
   
 7. Mrimi

  Mrimi JF-Expert Member

  #7
  Mar 3, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 1,675
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Hilm tatizo lako linaweza kupata suluhu iwapo utamconsult Arselona. Naona amerudi tena hewani, kama vipi jaribu kum PM. Au inawezekana akapita hapa, atakupa maelekezo.
   
 8. CORAL

  CORAL JF-Expert Member

  #8
  Mar 3, 2012
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 2,477
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Tatizo ni kwamba signal ya channel za ITV,EATV na CAPITAL ni hafifu kwa sasa. Ili kupata hizo channels kuna mambo 2: kwanza ukiwa na dish la 8ft utapata kwa sababu lina uwezo zaidi wa kunasa signal kuliko ft 6;pili ukiwa na receiver nzuri yenye uwezo mkubwa hata dish la 6ft unapata channel zenye signal ndogo. Mimi natumia receiver aina ya STRONG original(kwa kuwa zipo strong fake), ninapata ITV,EATV na CAPITAL lakini zinapotea muda fulani na kurudi.
   
 9. CORAL

  CORAL JF-Expert Member

  #9
  Mar 3, 2012
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 2,477
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  LNB 2 C bnd zimeunganishwa katikati ya dish na Universal KU band imefungwa kwenye rod mashariki mwa zile C band 2. Napata, ITV,EATV,CAPITAL,STAR TV, Al Jazeera,CCTV,Arirang,ZNBC1, na ZNBC2.
   
 10. Mgjd

  Mgjd JF-Expert Member

  #10
  Mar 4, 2012
  Joined: Feb 19, 2012
  Messages: 414
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Natumia dish la 6' na nimefunga Lnb 2 za C band. Maana yake nimeunga plate mbili. Plate ya kati nimeweka C band ya kawaida,na plate ya pili C band kubwa (Single). Hii ya kati nimefetch Intelsat 7(PASS 10) Na napata pamoja nazo,pia Tv mozambique. Kwa hyo kubwa nimetega Intelsat 902 @64 E,napata Al jazeera,CCTV9,NHK,MOZAMBIQUE,NK. Sasa nataka kuhama satlte hy 902,niende IS-906 @68.2 E,hapa zipo zote za ITv na radio zake,MOZ'QUE,K24,UBC,Kiss tv,ZNBC1,2 kwa C band,pia unaweza kuzipata kwa Ku.
   
 11. M

  MSUNZU Member

  #11
  Mar 4, 2012
  Joined: Dec 9, 2011
  Messages: 35
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nimekuelewa hivi kwa hapa bongo STRONG RECEIVER ni bei gani na je unawezaje kutofautisha fake na original.
   
 12. Mgjd

  Mgjd JF-Expert Member

  #12
  Mar 4, 2012
  Joined: Feb 19, 2012
  Messages: 414
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Strong recievers SRT 4999X Sh.170,000 na zipo Strong HD na MPEG4 bei zake ni tofauti,2-3 laki. Hizi Mpeg4 zina uwezo wa kufungua encrypted chnls. Na unapata zote zinazokuwepo ktk satellite beam. Ina uwezo wa ku-store zaidi ya chnl 1000.
   
 13. M

  MSUNZU Member

  #13
  Mar 4, 2012
  Joined: Dec 9, 2011
  Messages: 35
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Shukran mkuu kwa maelezo yako ntayafuatilia.
   
 14. Mavella

  Mavella JF-Expert Member

  #14
  Mar 10, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 326
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Mimi natumia dish la futi 6 na nimeweka lnb 3 (1)c band intelsat 906 @ 64e yenye chanel za Tz (2) ku band intelsat 7/10 @ 68.5e yenye chanel kama BTV Botswana, SABC 1,2,3 afrika kusini, MUVI TV Zambia, nanyingine za dini idadi yake ni zaidi ya 50 (3) ku band NSS 12 @ 57e yenye chaneli KBC, K24, sayare tv na Family tv zote Kenya, WBS Uganda,
   
 15. mzawa10

  mzawa10 Member

  #15
  Mar 13, 2012
  Joined: May 1, 2008
  Messages: 91
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 15
  Pole sana , hata mimi nina matatizo kama yako ila nasikia hawa jamaa wamebana signal maana sasa hivi wana mpango wa kuuza channels zao kwenye ving'amuzi..wenye dish ft 8 wanazipata kama kawaida lakini muda ukizidi kwenda watazi scramble kabisa maana wameshaingia tamaa za kupata pesa...sasa tuache kulipia channels kama za DSTV tulupie hiizi za kibongo ambazo hata hawana vipindi vya maana.ila kwa kujiandaa nunua receiver yenye mpeg-4 DVBS-2 maana hata ukiangalia channel nyingi wanabadilisha mfumo wao wa kurusha matatangazo yao....
   
 16. Mgjd

  Mgjd JF-Expert Member

  #16
  Apr 4, 2012
  Joined: Feb 19, 2012
  Messages: 414
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Samahani mkuu,hyo Ku ya Kenya ktk NSS 12 UMEIFUNGA WAPI KATK DISH? Maana mimi nifunga Chini kabisa kwny rod ya mbele linakoinamia dish,lkn sipati WBS ,SABC,,badala yake napata KBC,K24 na FAMILY peke yake tena intelsat 902/KU. So ili niweze kuipata hyo NSS 12 nifanyeje?
   
 17. Mamaya

  Mamaya JF-Expert Member

  #17
  Apr 4, 2012
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 3,726
  Likes Received: 447
  Trophy Points: 180
  shida yote ya nini kaka. Weka LNB 1 na KU 2 unadaka zote za uarabuni west kama Nollywood nigeria na za south zote,za bongo zote ambazo ziko kweye sate. Mi nakamata station 102. Plus radio 123 za ndani na nje. N sometimes napata ss3,ignation ss2 but huwa zinakuja na kupotea
   
 18. KIBURUDISHO

  KIBURUDISHO JF-Expert Member

  #18
  Apr 4, 2012
  Joined: Mar 28, 2011
  Messages: 955
  Likes Received: 79
  Trophy Points: 45
  Mkuu naomba unipe frquency za hizo chaneli za SABC 1,2,3
   
 19. Mgjd

  Mgjd JF-Expert Member

  #19
  Apr 4, 2012
  Joined: Feb 19, 2012
  Messages: 414
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Tupatie location ya dish na satellite mkuu. Arabsat,Hotbird au Nilesat? Tafadhali.
   
 20. M

  MSUNZU Member

  #20
  Apr 4, 2012
  Joined: Dec 9, 2011
  Messages: 35
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hivi kweli kuna uwezekano wa kupata radio za hapa bongo.Mimi natumia dish la futi sita lakini sipati hata moja.Naomba nielezwe nifanyeje nizipate wakuu.
   
Loading...