Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

AI imeendelea kuthibitisha kuwa inaweza kuona picha, kufanya hesabu, na kadhalika. Mifumo mingi ya captchas hutegemea picha, hesabu, herufi na sauti kucheki kama mtumiaji ni bot au binadamu. Kuna...
1 Reactions
3 Replies
353 Views
Habari zenu Guruz wa jukwaa la Tech. Mwenzenu simu ya wife ameset imekuwa linked na Google kwenye message na sasa haitaki tena. Sasa kaniachia msala wa.kuiondoa ili ibaki kawaida Sqsa hio G hio...
4 Reactions
20 Replies
5K Views
Habarini wakuu Tangu kifurushi cha startimes kimeisha nikaamua kuchomeka waya ya antenna direct kwenye tv na kuscan channel. Nimepata channel zaidi ya 10 ITV, TBC, STARTV, CAPITAL TV, CH10, EATV...
1 Reactions
35 Replies
10K Views
Unapozungumzia setelite tofauti na huduma zengine ambazo ni rahisi kuwekewa vikwazo mfano mfumo wa redio za sauti,mawasiliano ya simu na njia za waya au wireless zenye uwezo masafa yasio kwenda...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Habari wakuu Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyouliza. Kuna website nikifungua kupitia simu yangu naweza kukopi text lakini Kuna website zingine siwezi kukopi. Nafahamu baadhi ya website...
0 Reactions
2 Replies
441 Views
INVERTER NI NINI? Inverter ni kifaa kinacho badili umeme mdogo wa Direct Current (DC) kuwa Alternative Current(AC) na kuukuza ili uweze kkutumika kwa matumizi ya vifaa vikubwa vya nyumbani kama...
10 Reactions
51 Replies
22K Views
Wakuu, Nina Smart tv hapa inch 32 ( Alitop ). Naomba kuelekezwa jinsi ya ku-connect simu na tv Ili nicheze game kwenye simu ila display ionyeshe kwenye tv. NOTE: Tv ni Alitop , simu ni Infinix...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Samsung imeachia update ya Android 14 One UI 6 toka wiki iliyopita. Kwa wale wenye simu za Galaxy 23 Ultra unaweza ku-update simu yako kwenda One UI 6. Binafsi nilisha update lakini sioni...
2 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari Ndugu zanguni? Mimi nahitaji nitumie umeme wa solar maana nilipoweka makazi umeme wa tanesco haujafika. Nataka nitumie i) Taa (04) ii) Kuchaji Simu (07) iii) Sabufa (01) tu . Je, napaswa...
2 Reactions
61 Replies
10K Views
Wakuu habari za saivi, Nilikua Napenda kujuzwa Zaid kwenye option ya developer unaweza kufanya vitu gani kupitia apo
0 Reactions
9 Replies
5K Views
Habari. Kama kichwa cha habari hapo juu. Naomba msaada wa unlock code kwani nimechoshwa na kuunga bando ktk lain ya tigo maana ni gharama sana! Naambatanisha na emai ya simu. Network: TIGO Model...
2 Reactions
21 Replies
12K Views
Kwema? Nimepokea pesa kidogo kutoka kwa rafiki yangu nje ya nchi na kwa sababu PayPal haipokei pesa Tanzania nikamuomba anitumie kupitia Worldremit. Tayari kanitumia tangu saa sita mchana na...
3 Reactions
33 Replies
4K Views
Habari mwanajamvi, najua umekuwa na siku ndefu sana ya kikazi maofisini au biasharani, ama mwingine unasoma uzi huu ukiwa kazini, piga kazi, kazi ni kipimo cha utu. Kabla sijaendelea mbali naomba...
40 Reactions
81 Replies
16K Views
Google pixel 7&7pro ni moto wazeee Team pixel tukutane kuzijadili. Ikiwa tayari uzinduliwaji wa simu aina ya google pixel 7&7pro kuzinduliwa mda mchache ulio pita Sasa hizi ndio Bei zake na nchi...
4 Reactions
317 Replies
36K Views
Smart parents take extraordinary steps for their children's future. It's time to take that crucial step now and enroll your children in programming courses at Safco Academy! Why Safco Academy is...
0 Reactions
0 Replies
410 Views
Habari, Mimi ni mtumiaji wa hii App ya X zamani twitter ila inapotokea inahitajika kuifanyia update inashindikana kwasababu simu yangu ni android version 7. Halafu ni tecno na sasa hivi hii App...
1 Reactions
7 Replies
663 Views
Habari wanajamvi, nina Computer desktop Dell Precisio t3400 nahitaji kupata motherboard kwani kila ninapojaribu kuulizia napata ya t3500. Naomba msaada wadau.
0 Reactions
0 Replies
297 Views
Uliza utajibiwa Maswali yanayo husu ukubwa wa battery na muda ambao inaweza kufanya kazi cheki HAPA
0 Reactions
36 Replies
9K Views
Wakuu nina friji langu aina ya HAIER nimelinunua miez 6 iliyopita nilikua nalitumia vizuri tu bila tatizo ila mgao wa UMEME ulipoanza basi umeme ukirudi linakua linachelewa kuwaka Linakua...
11 Reactions
74 Replies
7K Views
Nakumbuka nilileta huu uzi hapa wa kuomba ushauri wa friji langu kujiwasha na kujizima[emoji1313][emoji1313][emoji1313][emoji1313]...
7 Reactions
16 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…