Naomba kujuzwa Developer option katika simu za android

Jan 27, 2018
62
125
Wakuu habari za saivi,

Nilikua Napenda kujuzwa Zaid kwenye option ya developer unaweza kufanya vitu gani kupitia apo
 
Han Solo

JF-Expert Member
Jan 2, 2020
454
1,000
1. ADB debugging, ndio option naitumia sana, kwa ajili ku connect simu ya android na windows pc. Hii inaipa ruhusa pc kufanya mambo kadhaa kama ku disable apps, kuinstall apps, na mengine mengi (ambayo hayawezekani kwa urahisi kuyafanya ukitumia simu) kwenye simu moja kwa moja kwa kupitia waya wa usb.

2. Unlocking Bootloader (OEM Unlock) kwa ajili ya ku root au kuflash custom recovery kama twrp au custom roms.

3. Advanced options / Settings
Kuna options zingine hazipo kwa matumizi ya kawaida kama kubadili transition animation scale na animation duration scale, pia kuna option za kubadili dpi n.k

4. Kudhibiti ufanyaji wa kazi wa apps, hii kama simu ina memory ndogo inafaa sana. Mfano app zinazokula ram sana zinaweza kuondolewa pale mtumiaji anapoifunga inasaidia ku free memory japo itachelewesha app kufunguka itakapotumika tena maana android iwa ina cache activity za app ili ifunguke fasta. Pia unaweza kudhibiti app zinafanya kazi nyuma ya pazia mfano whatsapp inakuwa inafanya kazi ata ukiwa umeifunga hii inakula memory.

5. Wataongezea na wengine
 
mkorinto

JF-Expert Member
Jun 11, 2014
22,580
2,000

nyingine urembo pia,nimeona kwenye samsung a 20 unaweza weka notch,kama za iphone x,inapendeza sana.
 
Han Solo

JF-Expert Member
Jan 2, 2020
454
1,000
Naombeni kufahamishwa jinsi ya ku'enable usb debugging kwa CMD
1. Hakikisha ume enable usb debugging kwenye developer options.

2. Uwe na simu yako pamoja na waya wa usb kwenye pc.

3 hakikisha ume install usb drivers za simu yako na pia umeinstall adb/fastboot tool (njia rahisi install minimal adb tool Download Minimal ADB and Fastboot Tool (all versions)
Ukisha install izo zote anzisha minimal adb as admin.

4. Chomeka simu yako kwa pc kisha andika adb devices, kama kila kitu kiko poa itakuandikia list ya devices za android zinazoonekana (itakuwa ni moja tu kwa wakati huo) halafu itakuletea kaujumbe flani kwenye simu,
Image-002-2.jpg

Ukishakubali ule ujumbe, basi tayari unaweza kucheza na mambo mengine. Inabidi uwe unajua adb command mbalimbali kwa ajili ya kufanya mambo mbalimbali kwenye simu yako.

Sijui umeelewa, kama bado watakuja wataalam zaidi kukuelewesha.
 
Jan 27, 2018
62
125
1. ADB debugging, ndio option naitumia sana, kwa ajili ku connect simu ya android na windows pc. Hii inaipa ruhusa pc kufanya mambo kadhaa kama ku disable apps, kuinstall apps, na mengine mengi (ambayo hayawezekani kwa urahisi kuyafanya ukitumia simu) kwenye simu moja kwa moja kwa kupitia waya wa usb.

2. Unlocking Bootloader (OEM Unlock) kwa ajili ya ku root au kuflash custom recovery kama twrp au custom roms.

3. Advanced options / Settings
Kuna options zingine hazipo kwa matumizi ya kawaida kama kubadili transition animation scale na animation duration scale, pia kuna option za kubadili dpi n.k

4. Kudhibiti ufanyaji wa kazi wa apps, hii kama simu ina memory ndogo inafaa sana. Mfano app zinazokula ram sana zinaweza kuondolewa pale mtumiaji anapoifunga inasaidia ku free memory japo itachelewesha app kufunguka itakapotumika tena maana android iwa ina cache activity za app ili ifunguke fasta. Pia unaweza kudhibiti app zinafanya kazi nyuma ya pazia mfano whatsapp inakuwa inafanya kazi ata ukiwa umeifunga hii inakula memory.

5. Wataongezea na wengine
Asante Sana mkuu
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom