Msaada: T-SMART 4G NCK CODE

Magoe

Member
Jan 14, 2014
93
111
Habari. Kama kichwa cha habari hapo juu. Naomba msaada wa unlock code kwani nimechoshwa na kuunga bando ktk lain ya tigo maana ni gharama sana!
Naambatanisha na emai ya simu.

Network: TIGO
Model: FP789L-T
IMEI:

Natanguliza shukrani.
 
Nilikucheki Inbox, sijui kama umeona?
 
zinaunlockicka remotely bila shida kwa zinazoomba code tunakupa codes na zinazohitaji kuunlock kwa usb unapaswa uwe na pc na chanzo cha mtandao na software inayoitwa team viewer ther rest tunakumalizia wenyewe remotely
 
Habari. Kama kichwa cha habari hapo juu. Naomba msaada wa unlock code kwani nimechoshwa na kuunga bando ktk lain ya tigo maana ni gharama sana!
Naambatanisha na emai ya simu.

Network: TIGO
Model: FP789L-T
IMEI:

Natanguliza shukrani.
Mkuu hii program ina kazi gani?
 
Kama zinatolewa free, kwanini umeshindwa kuipata? Km yeye amepata bure ww umeshindwa? Hata mm nimeipata bure
Software zinatolewa free na programer ulishawahi waambia wachunge rinda?, kama huwezi nisaidia ungekaa kimya tu.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom