Kuna Tetesi inasemekana Whatsapp wako kwenye majaribio ya kuweza kuleta feature yenye uwezo wa kuingia kwenye Whatsapp akaunti yako bila kutumia namba ya simu.
Feature hii itaanza kupatikana kwa...
Yaani nimetumia hii aina kwa mara ya kwanza. Ina upuuz mwingi sana.
App lazima uzipe ruhusa. Yaani ni kama upuuzi.
Haya mambo ya katalog eti sijui kuonekana unamiliki uninga mtupu
Wakuu,
Webservice ndio chanzo kikuu cha umaskini kwa IT wengi, leo nilikua nafanya malipo kwa service nazo zitumia kwenye personal projects, aise ukifanya mchezo fedha zako zote zinaishia huku...
Artificial Intelligence in Tanzania: Tumetengeneza Artificial Intelligence platform ambayo inaweza kukusaidia kuongeza ufanisi na productivity ktk kazi zako, leo nita share vitu vichache kidogo...
Habar zenu wandug
Hii no post yangu ua kwanza kabisa katika web hii. Mwanzo nlikua natumia pd davo wakatuonea wivu. Now npo guru but tatizo ipo slow sana si kama pd. Sasa nlikua nauliza may b ipo...
Na kenge,
Umewahi kujiuliza au kusikia kwanini watu wanaotajwa kuwa ni matajiri duniani asilimia kubwa wanabackground ya mambo ya programming(kugonga code)??
Programming ni ujuzi wa kutengeneza...
Salaam Wadau,
Siku za hivi karibuni nimekuwa nikipata hii alert kwenye moja ya simu zangu ninazotumia, simu yangu ni Redmi Note 12. Je ina maanisha nini?
Cc: Chief-Mkwawa
Leo ntakuonesha namna utakavyoweza kupata domain ya .com bure kwa mwaka mzima na pia hosting ya kudumu bure kabisa ya Tsh. 0.
Fuata hatua zifuatazo kwa usahihi na kwa umakini ili kuvipata hivyo...
Kampuni ya TECNO Leo imetangaza kuwa itazindua Robot yake.
Kaa tayari kwa uzinduzi wa TECNO Robot! Siku ya Leo!
TECNO itazindua kwa mara ya kwanza mbwa wake wa kwanza wa roboti iliyoboreshwa kwa...
Nataka google pixel 3 xL au 3 a nimeona bei zake ni around 350K je ukiachana na camera hizi simu zinakaaje na chaji na je spars zake nirahisi kupatikana
nahitaji detail kuhusu hizi simu google...
Mac Pro mpya ni game changer Kwa all creaters, 3D Animations, graphics designers, videos production .
Apple wamekuja na chip Yao wenyewe from silicon na upanuzi wa PCIe kwa workflows Kazi za...
Moja ya changamoto inawakumba wengi ni Window 10 Kuweza Kufanya Auto Update ambayo inaweza Chukua Bundle lako chap na Hii huwa inachukua zaid ya GB 2+ kufanya update, first time kutumia Hii Window...
Naona Windows 10 inakula sana bando kila nikitumia modem kwenye PC tofauti na nilivyokuwa nikitumia Windows 8.
Swali;
Nini kinasababisha na njia zipi zitumike kutatua changamoto hii?
Habari wadau!
Nina laptop yangu aina ya Dell ambayo USB ports zote zimegoma kabisa kufanya kazi.. Na hiyo laptop natumia external keyboard na mouse sababu keyboard yake imekufa.
Sasa nikiwasha...
Naomba kuuliza kwa mafundi na wajuzi, ni TV aina ipi za kichina ni nzuri au zina afadhali, kwa ubora, uimara, picha nzuri nk kushinda nyingine maana nasikia nyingine hazitimii hata zile inches za...