Windows Update.Nini kinasababisha na njia zipi zitumike kutatua changamoto hii?
Asante kwa ufafanuzi. Mana inakula bando balaa!Windows Update.
Hizo ndio zinakula bundle lako kaka, so ukitaka usitumie sana bundle unatakiwa uzifunge Windows isiwe ina update automatically.
BUT baada ya muda huwa zinapungua maana hawatoi update kila siku, sasa hivi inakula bundle kwasababu hujawai Update.
Jinsi ya kufunga Updates, ingia Google utapata muongozo simpe kabisa.
Ifanye iwe metered connectionNaona Windows 10 inakula sana bando kila nikitumia modem kwenye PC tofauti na nilivyokuwa nikitumia Windows 8.
Swali;
Nini kinasababisha na njia zipi zitumike kutatua changamoto hii?
Ngoja nifanye hivyo mimi siyo mtaalamu wa kompyuta ila ni mtumiaji wa kompyuta kwa program nyepesi nyepesi. Mpaka kuja huku, basi Windows 10 imenitia hasara sana ya mabando baada ya kuanza kuitumiaIfanye iwe metered connection
Fanya network yoyote ambayo hutaki iliwe bundle kwa computer kujiupdate kuwa metered connection maana ndicho chanzo cha kuliwa bundleNgoja nifanye hivyo mimi siyo mtaalamu wa kompyuta ila ni mtumiaji wa kompyuta kwa program nyepesi nyepesi. Mpaka kuja huku, basi Windows 10 imenitia hasara sana ya mabando baada ya kuanza kuitumia
Na hii si moja kwa moja haita-updates tena kama ilivyo kwa windows 7 au 8 ukiset "never check for updates"?Fanya network yoyote ambayo hutaki iliwe bundle kwa computer kujiupdate kuwa metered connection maana ndicho chanzo cha kuliwa bundle