Ndugu zangu,
Nina modemu ya tigo huawei e303s-1 hivyo nilikuwa naomba kwa mwenye link ya software yenye uwezo wa kuichakachua modemu hiyo atupiae link vile vile hata namna ya uchakachukuzi...
Haya tena wale wapenzi wa teknolojia hasa gajeti, leo Samsung wamezindua flagship yao kutoka familia ya Galaxy note amabyo inakwenda kwa jina la Samsung Galaxy Note edge.
Simu hii ina kioo...
Wanabodi naomba msaada simu yangu ya Samsung galaxy mini s5570 ime freeze for two days now. Inawaka na kuzima kama kawaida ila tu touch screen hairespond. Nimejaribu kufanya hard reset sifanikiwi...
Habari wana JF,
Nina camera aina ya FUJIFILM ina tatizo upande wa lens haitaki kuingia ndani, tatizo hili lilianza baada ya mtoto kuichezea naomba anayejua namna ya kuirekebisha anielekeze cha...
Uzi huu unawahusu wale wote waliosoma, na wanaosoma radiography, iwe ni MUHAS au CUHAS. Karibuni tujadili changamoto za taaluma hii na faida kwa ...
ATOM FOR PEACE...
Samahani jamani nilikua na bb 9800 ya vodafone nikafungua email ya voda sasa nimebadili nina bb9780 sasa tatizo nikifungua email kwenye hii simu mpya inanitaka password za email ya voda ambako...
Apple is holding one of its signature keynote events today in its hometown of Cupertino, Calif. Its latest iPhone, some sort of wearable device, and a payments system are expected. Here's how to...
Ni Samsung s4 mini - mpya sasa kila nikitaka ku connect kwenye Internet inagoma kabisa
Wenye ujuzi naomba msaada namna ya kui wezesha hii simu kupata 3G Network.
Wanajamii,
Naomba msaada.
Rafiki yangu amepata ajali na kupooza miguu yote hivyo kutoweza kuendesha gari. Naomba kama kuna mtu anayeweza au anajua mtu anayeweza kumodify gari yake ili aweze...
Habari zenu wana jamiii.
Nilikuwa naomba msaada. niliagiza badminton racket and shuttlecocks from ebay last month. i received only shuttlecocks. when i contacted seller this is what he replied...
WanaTech.
Naomba msaada nina simu ya huawei y530. Nimewasha data ,na nina kifurushi cha internet lakini simu hairespond kila ninaposurf. Naomba msaada wadau please.