Naomba Msaada tatizo la Internet kwenye Huawei Y530

Naomba Msaada tatizo la Internet kwenye Huawei Y530

Mwandwanga

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2011
Posts
3,057
Reaction score
1,573
WanaTech.
Naomba msaada nina simu ya huawei y530. Nimewasha data ,na nina kifurushi cha internet lakini simu hairespond kila ninaposurf. Naomba msaada wadau please.
 
Hello,
Je umeshawahi kutumia Internet kwenye hiyo simu yako?

Jarib kufanya hivi. Nenda Settings>Mobile Network>Access Point Names hapo kama kuna Tigo Web edit kwenye APN andika neno internet

All the best.
 
Nashukuru Mkuu ...naomba nijaribu nitarudisha Majibu.
 
Mwana naomba nisaidie ku unlock huawei y530 ya tigo ili niweze lutumia line zpte
 
Back
Top Bottom