Nifanyaje tatizo la lenzi ya kamera kutorudi ndani ?

Linamo

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2011
Posts
9,974
Reaction score
24,504
Habari wana JF,

Nina camera aina ya FUJIFILM ina tatizo upande wa lens haitaki kuingia ndani, tatizo hili lilianza baada ya mtoto kuichezea naomba anayejua namna ya kuirekebisha anielekeze cha kufanya.

Natanguliza shukrani.
 
Hii inasababishwa na kuingia kwa vumbi, unachotakiwa kufanya chukua vaccuum cleaner, inayotumika kunyonya vumbi kwenye carpet, hakikisha hose tail pipe fits the front of your camera lens, then connect the cleaner to the power supply. The cleaner will suck all the dust which restrict the movement of the lens. Ilinitokea and I was very successfully.
 
tafuta fundi kamera acheki hiyo lens inaendeshwa na mkanda maalumu huwa unakatika inapopata msukosuko au imepalaganya mpangilio wa lens
 
Ahsante sana mkuu...ila sina hiyo vacuum cleaner hamna namna nyingine??
 
tafuta fundi kamera acheki hiyo lens inaendeshwa na mkanda maalumu huwa unakatika inapopata msukosuko au imepalaganya mpangilio wa lens

mkuu inawezekana mkanda ukakatika ila ikawaka mana inawaka ila inaandika TURN OFF THE CAMERA AND TURN ON AGAIN....ila haipigi.
 
Hii inasababishwa na kuingia kwa vumbi, unachotakiwa kufanya chukua vaccuum cleaner, inayotumika kunyonya vumbi kwenye carpet, hakikisha hose tail pipe fits the front of your camera lens, then connect the cleaner to the power supply. The cleaner will suck all the dust which restrict the movement of the lens. Ilinitokea and I was very successfully.

Mkuu nikiiwasha inawaka ila inaandika TURN OFF THE CAMERA AND TURN ON AGAIN...
 
Hii inasababishwa na kuingia kwa vumbi, unachotakiwa kufanya chukua vaccuum cleaner, inayotumika kunyonya vumbi kwenye carpet, hakikisha hose tail pipe fits the front of your camera lens, then connect the cleaner to the power supply. The cleaner will suck all the dust which restrict the movement of the lens. Ilinitokea and I was very successfully.

nami ninatatizo kinyume ya hilo yaan mim kamera yangu ni aina ya samsung haichomoi ile focus lenye lens pamoja kuchaj ipasavyo na kubadilisha betri kwa sampli hiyo,please msaada pia.
 
uliidondosha wakati lens ipo inje

Hapo sina uhakika maana mtoto alichukua akawa anachezea mimi nimekuta lens iko nje na wala hairudi ndani.
 
Back
Top Bottom