How to unlock VODACOM Modem, Huawei e303s-2

MKANDAHARI

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2011
Posts
5,740
Reaction score
6,647
Habarini wakuu naombeni msaada jinsi ya kuchakachua modem tajwa yenye IMEI 866452012466435. Natanguliza shukrani
 
hii ni version gani tena umenunua lini au ndo voda wana modem mpya sababu ss tunaijua E303 bila s-2
 
Habarini wakuu naombeni msaada jinsi ya kuchakachua modem tajwa yenye IMEI 866452012466435. Natanguliza shukrani

Hi unaweza kufungua yako Huawei E303 kwa urahisi kwa kutumia code kufungua. Kama unahitaji kufungua code unaweza kutembelea tovuti hii Superunlockcodes.com hapa unaweza kupata kanuni na kufungua yako Huawei E303 kwa urahisi
 
Back
Top Bottom