Naomba msaada kuhusu email kwenye bb 9780

Naomba msaada kuhusu email kwenye bb 9780

the horticulturist

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2012
Posts
1,959
Reaction score
1,929
Samahani jamani nilikua na bb 9800 ya vodafone nikafungua email ya voda sasa nimebadili nina bb9780 sasa tatizo nikifungua email kwenye hii simu mpya inanitaka password za email ya voda ambako kwenye hii mpya hazikubali,nimewipe sana ila still bado nikifungua email inafunguka kwanza ile ya voda nami nataka niweke aCcount yangu yahoo mail,plsss nisaidien tafadhari Edit Reply Report Post
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom