How do I transfer my photos from iPad to My android phone/Laptop

iMind

Platinum Member
Joined
Mar 27, 2011
Posts
3,230
Reaction score
5,525
Kwa yeyote anyejua njia rahisi tafadhali.
 
kama sio nyingi sana download dropbox save pic zako kwenye cloud halafu kwenye simu yako ya android na laptop yako pia download dropbox. app zote 3 sign in na acount moja utaona picha zako zote kwenye vifaa vyote.

kama unaona kwa cloud ni ngumu download itune kwenye laptop yako halafu conect ipad na laptop kwa usb cable tumia itune kuhamisha picha toka ipad kuja laptop ukimaliza chomoa ipad chomeka simu ya android then hamisha toka laptop kwenda kwenye simu ya android
 
Big up, nimetumia drop box, imefanya vyema. Thanks.
 
kama sio nyingi sana download dropbox save pic zako kwenye cloud halafu kwenye simu yako ya android na laptop yako pia download dropbox. app zote 3 sign in na acount moja utaona picha zako zote kwenye vifaa vyote.

kama unaona kwa cloud ni ngumu download itune kwenye laptop yako halafu conect ipad na laptop kwa usb cable tumia itune kuhamisha picha toka ipad kuja laptop ukimaliza chomoa ipad chomeka simu ya android then hamisha toka laptop kwenda kwenye simu ya android
Kwa maelezo haya Inamaana huwezi fanya trasfa yoyote toka android kwenda iphone.?
 
Itawezekana iwapo tu iPhone au ipad yako umeijailbreak otherwise haiwezekani na hizo njia ndio sahihi zaidi!!
 
Tusubiri kwenye iOS 8.1.2 labda
Watarahisisha maana duh hawa jamaaa wako strictly kila pahali,wanachangoto nyingi mno fadhali hata android na windows sasa
 
samahani mkuu though ni nje ya
thread hii nna simu yangu inaitwa
t..mobile slidekick kama waweza
naomba nisaidie jinsi ya kuipatia
configuration za net,
wasalaam mkuu
 
Mbona kama kuna milolongo mingi.

Hapo kilichokosekana si bluetooth mkuu?
We chomeka ipad yako kwa pc nenda Computer utaikuta ipad yako, then click utakuta picha na video zako kisha hamisha kwa pc then chomeka android yako hamishia huko
 
Tusubiri kwenye iOS 8.1.2 labda
Watarahisisha maana duh hawa jamaaa wako strictly kila pahali,wanachangoto nyingi mno fadhali hata android na windows sasa

Mkuu kuna vitu Apple hawata kuja kubadili maana ndio unique zao hizo, labda baadae sana watakapo anza kufeli
 
''I don't want to make Android users Happy'' => Steve Jobs
but now Itunes for Android divices it's on the way !
They have been failed on music industry !
 
Hapa njia ni jailbroken tu mpaka watakoma,
Tutaigeuza iphone kuwa android soon
 
Back
Top Bottom