Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Wadau simu yangu ya HTC desire S S510e imedondoka na housing imeharibika, naweza pata housing nyingine au ndio ntoleeee!!!:eek:
0 Reactions
0 Replies
747 Views
NASA's Kepler Spacecraft Finds 1st Alien Planet of New Mission ...
0 Reactions
0 Replies
896 Views
The court in the Hague sentenced the 28 year old Jordy de J. from Nieuwerkerk to 12 months in prison, 8 of which are probationary. He was found guilty of hacking into the Groene Hart Hospital's...
0 Reactions
1 Replies
678 Views
Wakuu nina simu ambayo nimeletewa kutoka USA nimeshindwa ku unlock,aina ya cm ndo hiyo hapo juu,plse anayejua watu wanaoweza ku unlock anielekeze. Pia itachukua muda gan??
0 Reactions
0 Replies
1K Views
It is a huge event in hacking history as hacker stole date being estimated up to 11 tetrabyte.The hackers demand is to stop releasing a new comedy movie wich was expected next thursday, the movie...
0 Reactions
0 Replies
733 Views
Natafuta IT Professional(2) wenye level yoyote ile ili ku partner na kuanzisha IT Firm ambayo itakuwa Serious. Tutaunganishwa na Sera na miongozo ya Kampuni wala siyo ushikaji wala kujuana. Kama...
0 Reactions
1 Replies
882 Views
Nina samsung Notebook, haikamati internet ninapotaka kufungua browser. Lakini msg za Whatsapp zinaingia kama kawaida na nikituma pia zinaenda. Ila nikitumiwa clip kwenye whatsapp siwezi kuifungua...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wadau nina samsung halaxy trend lite mpya nashindwa kudownload apps play store sababu imegoma ku-sign google...kila nikijaribu sign in inaleta ujumbe "error occuered in gòogle sever".....je,ni...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Nahitaji kurecovery data zangu kutoka kwenye sd card, nimejaribu kudownload data recovery software kama mbili tofauti zote zinafanya kazi vizuri na kuleta file zote ila ninapotaka kurecovery data...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wadau nini samsung halaxu trend mpya shida nashindwa kudownload apps play store sababu imegoma kujisajili...kila nikijaribu sign in inaleta ujumbe "error occuered in gòogle sever".....je,ni mbinu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nina iphone 4s nilikuwa nime-jailbreack wakati ikiwa ios 8.0 na ilikuwa cydia ilikuwa haijakaa sawa ilikuwa ina sumbua na ikaamua ku-unjailbreack sasa iphone yangu iko ios 8.1.2,napenda kuuliza...
0 Reactions
0 Replies
571 Views
5 Aluminum Foil Uses You Never Thought Of Cooks know the value of aluminum foil, particularly around the holidays, when it plays a role in everything from roasting vegetables to storing...
0 Reactions
2 Replies
962 Views
Curiosity Rover Drills Into Mars Rock, Finds Water The hole drilled into this rock target, called "Cumberland," was made by NASA's Mars rover...
1 Reactions
0 Replies
755 Views
Password is must important for every Whatsapp user and now you can use password for your whatsapp and with this you can remain secure and safe and prevent from unauthorized access. Lock Whatsapp...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Well its very tricky and i think very essential for peoples like us,who are keep online 24×7 on Whatsapp.So in this situation its important that you must disable the “last seen” option for many...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Natumia mashine aina ya Toshiba tatizo lake nikiitumia bila kuchomeka kwene Chaji inafanya kazi bila shida yoyote, Ishu napo chomeka chaji tu ikiwa imewaka ina stuck,nikizma na kuiwasha kama bado...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Guys nahtaji ku update simu yangu aina ya tecno phantom z lakini nashindwa yani nataka kutoka kwenye android version 4.4 kitkat to android version 5lolpop je nifanyaje.naombeni msaada nimefanya...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
bajeti yangu ndio hyo natafuta yeny specifcation kubwa nipo mbeya
0 Reactions
22 Replies
4K Views
Habri wanatech. Naomba msaada kwa mtu ambaye anadeal sana na cisco devices in real life siyo kwenye simulation,niko nafanya configuraion ya vpn tatizo kuna some commands zinakuwa labeled...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Je Wakati wa Ultra HD 4K TV Umefika? Televisheni 4K Ultra HD au 4K TV, au akama Sony wanavyoziita 4K UHD TV zimekuwa madukani kwa muda wa mwaka sasa, lakini tunaweza kusema kwamba zilikuwa hazina...
3 Reactions
5 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…