Samsung galax trend lite inagoma kujisajili GOOGLE PLAY STORE

MANGUNGO

JF-Expert Member
Aug 30, 2011
1,536
352
Wadau nini samsung halaxu trend mpya shida nashindwa kudownload apps play store sababu imegoma kujisajili...kila nikijaribu sign in inaleta ujumbe "error occuered in gòogle sever".....je,ni mbinu gani mbadala nitumie ili niweze kudownload v2 playstore?...naomba msaada
 
Back
Top Bottom