Naomba kufahamu kuhusu Jailbreack, kwenye Iphone

Naomba kufahamu kuhusu Jailbreack, kwenye Iphone

Echolima

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2007
Posts
3,824
Reaction score
2,079
Nina iphone 4s nilikuwa nime-jailbreack wakati ikiwa ios 8.0 na ilikuwa cydia ilikuwa haijakaa sawa ilikuwa ina sumbua na ikaamua ku-unjailbreack sasa iphone yangu iko ios 8.1.2,napenda kuuliza wenye iphone sasa hivi jailbreack iko safi ?

ili nami ni-jailbreack.

Nawasilisha.
 
Back
Top Bottom