Nina laki 8 ninunue laptop gan nzuri

Nina laki 8 ninunue laptop gan nzuri

Mechanics

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2013
Posts
295
Reaction score
26
bajeti yangu ndio hyo natafuta yeny specifcation kubwa nipo mbeya
 
Inatakiwa tujue pendeleo lako hasa wewe ni lip kwa makampun yaliyopo! maana usije acha ulichopanga maishan ghafla na kufwata ulichotamani, BUT KULINGANA NA BAJET YAKO COMPUTER NZUR UTAPATA, ILI KURAHISISHA KUNA MAKAMPUNI KAMA sumsung, toshiba, hp, lenovo, compaq, dell, and etc... ambazo zitafit na pesa yako, ila kama utataka uchaguliwe wakuu hapa jf watakupa mwongozo Pia...ila ingekua vyema sana uje na chaguo lako ni lip ili ichambuliwe ili badae ucje juta.....
 
Mtoa mada cha kujua ni kwamba kuna lower end laptops na higher end laptop, Nnaposema lower end zipo i3, i5 na hata i7, kwa hyo hayo majina yasikutishe na kwenye higher end zipo hizo hizo i3, i5 na i7, kwa hyo unaweza ukakuta laptop zote ni i5 lakini moja inauzwa laki 8 na nyingine 1.2m,

vitu vya kuzingatia, angalia generation ya processor, speed, Ram, hdd/ssd na Gpu na display technology pamoja na resolution, hivi ndo vitu vinapanga bei ya laptop,
 
Mtoa mada cha kujua ni kwamba kuna lower end laptops na higher end laptop, Nnaposema lower end zipo i3, i5 na hata i7, kwa hyo hayo majina yasikutishe na kwenye higher end zipo hizo hizo i3, i5 na i7, kwa hyo unaweza ukakuta laptop zote ni i5 lakini moja inauzwa laki 8 na nyingine 1.2m,
vitu vya kuzingatia, angalia generation ya processor, speed, Ram, hdd/ssd na Gpu na display technology pamoja na resolution, hivi ndo vitu vinapanga bei ya laptop,

we uji kweli kwahiyo i7 pia unaieweka kwenye lower end laptops!
 
bei nzuri hiyo ingia kariakoo unapata dell vostro kwa laki 6 na chenchi inabaki
 
laptop yenye processor hii ni low end, middle au high end?

i7-2617M

According to last lesson that u gave us....hiyo ni i7 yes...ila ni 2nd generation na ni mobile processor!!!
Mkuu kwa niaba yako...kwanza naomba umpe mleta mada ushaur wa kueleka ili asije shika kichwa badae!!! Lakin pia kama utaweza...naomba, kama ulivyofanya kwenye processor, unifahamishe kuhus hizi HDD na ram!!! Je zikoje???
 
hiyo ni high end, ila lazima iwe ya brand original kv hp, dell au mac

dell hp na wengineo hawahusiki hapa maana tunamzungumzia intel, hata kamapuni iitwe ching sung yong kama ni i7 itabaki i7.

hio processor japo ina jina i7 ila ni weak sana compare na i7 nyengine na inapitwa na i3 karibia zote za 4th generation. imeipita kidogo tu atom ya baytrail

hivyo inabidi uwe makini si i7 zote ni high end,
 
bajeti yangu ndio hyo natafuta yeny specifcation kubwa nipo mbeya

nenda katafute hizo laptop za laki 8 kwenye maduka tofauti then zilete hapa utaambiwa ipi nzuri.

laptop si kama simu, zipo matured sana na hazishuki thamani upesi, hivyo naweza kutajia laptop hata aina 5 tofauti ukaenda dukani ukazikosa zote.
 
we uji kweli kwahiyo i7 pia unaieweka kwenye lower end laptops!

Umemtukana jamaa sema kjn am sure wewe ndo hujui unachokiongelea, zipo i7 low end ambazo zinapitwa hadi na processor kama Intel pentium G3258 ambayo hi 4th gen.. zipo i7 slow sana... jamaa alivosema yuko right kabisa, angalia ni generation gani, afu angalia na kitu kinaitwa benchmarks... zipo i7, i5, i3 za ovyo ana, jina i7 lisikutishe..

Update: baada ya kuona ulivomjibu Chief hapo juu basi nikagundua ujuzi wako kwenye haya maswala ni mdogo sana ulivomwambia ati aangalie original ni sijui hp dell.. Ningekushauri uresearch haya mambo uyajue vizuri, iia google soma utaelewa with time.. Sio dell sio apple sio samsung sio nani, wote wanachukua processor kwa kampuni ya intel au amd.. kwa hiyo processor ikiwa nyuji usilaumu dell walaumu intel, hawa dell wanachofanya ni kununua na kuassemble parts pamoja, labda vitu vichache sana kama keyboard, motherboard ndo wanatengeneza wenyewe ila hata displays mara nyingine wananunua..
 
The battle arise btn processors n not Laptops...
 
The battle arise btn processors n not Laptops...

................

attachment.php
 

Attachments

  • Capture1.jpg
    Capture1.jpg
    68.4 KB · Views: 454
Kwa uzoefu wangu gp for hp or lenovo brand. delete kabisa Dell! Naungana na Nelson Richard.
 
Back
Top Bottom