Sina kumbukumbu yoyote ya PUK, jana nimetoroka kazini nikaenda mlimani city nikakuta bonge la nyomi, nikipiga customer care haipatikani! Kuna jamaa yangu kaniambia ipo jinsi ya kupata PUK bila...
Wakuu natak kuquery data from database,
ila nataka kuzigroup kwa miezi, Yaani mfano nina attendance ya kuanzia mwezi wa kwanza ila nataka nivute data zote zinipe link ya miezi kimfano ni kiclick...
Habarini wapendwa.......
Nina simu aina ya Nokia C3 00.. Hii naipenda sababu inakaa na charge tofauti na smartphone nyingine nilonayo sasa hii NOKIA C3 00 tangu jana siielewi yaani nikienda...
Ninasumsung s3 mini ambayo nimeweka custom Rom CM11 so ina run android 4.4.4.
Nime activet encrypt now i want to dencrypt (deactivate it) nashindwa so plz help guyz.
Wadau msaada please kwa wenye ujuzi, nataka kubadilisha ESN ya modem yangu (CDMA) ila sina software, naombeni msaada please, nimejaribu ku google ila mpaka sasa sijafanikiwa kupata jibu sahihi.
Natafuta charger (power supply) ya Acer Iconia Tab. Kichwa chake ni pini sio kama micro USB za kuchajia hizi normal smartphones. Ina output ya 12V ===== 1.5A
Iliokuja na Tab imeungua naona...
Habari wakuu,
Naomba ufafanuzi kidogo juu ya powerbanks mbalimbali za kichina zinauzwa mitaani. Kwasababu nyingi zianonekana zimeandikwa zina uwezo mkubwa, namaanisha uwezo wa kutunza...
Hellow JF members. Today I am going to show you how to hack facebook account. I have decided to do this due to many request i got from JF members who wanted to learn how to hack facebook account...
Wapenzi wa technology, kila mwaka things get better kuliko mwaka uliopita, tupia tech gani unayoisubiri sana kwa hamu mwakani.. Mimi list yangu
1. Oculus Rift CV1.. Hii iko namba moja maksudi...
wandugu najua mpo bize na bunge move....
naomba tuje na huku....
kuna app 1 nimeiona ya boost speed ya net....kwenye 2g...3g...na 4g.... lkn nimeweka mambo ni yale yale.... naimba ufafanuzi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.